Utamu wa kileo (beer) ni kiasi gani?

Hivi, uliuliza beer gani au mataputapu gani matamu??? Maana posts nyingi hazizungumzii beer! Jibuni jamani ni utamu wa beer ni kiasi gani?
Mimi napenda Utamu wa Castle Lite ingawa ni mpenzi sana wa NYAGIZ hasa KISICHANA!!!
 
Back
Top Bottom