utambulisho

Kavoda

New Member
Aug 6, 2009
1
0
Mwanachama mpya kwa jina KAVODA naomba kuwasilisha hoja yangu binasfi ya utambulisho naomba muipitishe kwa asilimia mia (100%)
Naomba kuwasilisha.:)
 
Mwanachama mpya kwa jina KAVODA naomba kuwasilisha hoja yangu binasfi ya utambulisho naomba muipitishe kwa asilimia mia (100%)
Naomba kuwasilisha.:)
OPS!!
Nilidhani ni KAGODA, wanted, ingekuwa muda mzuri tukupeleke ukajibu mashitaka yako Kisutu.
anyway, karibu sana.
 
Mwanachama mpya kwa jina KAVODA naomba kuwasilisha hoja yangu binasfi ya utambulisho naomba muipitishe kwa asilimia mia (100%)
Naomba kuwasilisha.:)
Hoja ndio hiyo imetolewa sasa nitawahoji wanaJF. Wanaokataa waseme sio............ Wanaokubali waseme ndio >>>>>>>>>>>>>ndiooooooooooooooo!!!!!!!!!!!!!!!!
Wanaokubali wamepita kwahiyo tumepata mwanachama mpya wa JF.
Makofi tafadhali, pwa, pwa, pwa, pwa, !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!111111
 
Back
Top Bottom