Utamaduni wa watu wa Swaziland na posa ya Kifalme!!

Bassanda

Member
May 14, 2009
53
3
SHerehe hii hufanyika kila mwaka, na mwisho wa siku Mfalme Mswati huoa, anao takriban wake 15 hadi hivi sasa.
 

Attachments

  • reed-dance.jpg
    reed-dance.jpg
    79.9 KB · Views: 1,211
  • dsc-swazi.jpg
    dsc-swazi.jpg
    55.3 KB · Views: 1,110
  • -reed-dance.jpg
    -reed-dance.jpg
    73.2 KB · Views: 859
  • ---swaziland.jpg
    ---swaziland.jpg
    73 KB · Views: 801
  • swaziland-reed.jpg
    swaziland-reed.jpg
    46.3 KB · Views: 922
  • -swaziland-reed.jpg
    -swaziland-reed.jpg
    72.4 KB · Views: 783
  • swaziland-umhlanga.jpg
    swaziland-umhlanga.jpg
    30.2 KB · Views: 721
  • --swaziland-umhlanga.jpg
    --swaziland-umhlanga.jpg
    42 KB · Views: 689
  • swaziland-zulu.jpg
    swaziland-zulu.jpg
    37 KB · Views: 811
  • 62899680-maidens-take.jpg
    62899680-maidens-take.jpg
    44.4 KB · Views: 701
  • 62899684-maidens-wait.jpg
    62899684-maidens-wait.jpg
    58.3 KB · Views: 778
  • 62899685-swazilands-princess.jpg
    62899685-swazilands-princess.jpg
    50.6 KB · Views: 681
hizi picha zinanikumbusha WAZIRI MAMBA..! lol

hapa chini ni mamba akitoka ndani ya godoro baada ya kufumaniwa na mke wa mswati


newsbmambabed250.jpg

 
Hapa inabidi hata kwa kula boda kwani madiba ameondoa visa kwa watanzania sasa nikutafuta njia kuingia kwa mswati hii mambo ni ya hatari!!!!!!!
 
Yaani kama kuna mtu anafaidi watoto wazuri hapa duniani na huyu mfalme nae yumo......watoto kifuani kama MIBA....yaaaaani.....
 
nahisi hawatumiki inavyotakiwa hao watoto eh! ina maana wote bado bikira???
 
nahisi hawatumiki inavyotakiwa hao watoto eh! ina maana wote bado bikira???

u said it right, wako under used, wanatumika kidogo sana, hapa kwetu bongo ukikuta msichana mdogo sometimes matiti yamelala, utafikiri
mzee, overused
 

Zama za ushenzi katika karne ya sayansi na teknolojia. Huu ni udharirishaji wa wanawake!!!!!!!!!! Wako wapi wale wanaojifanya watetezi wa haki za wanawake!!!!!! Kuwekwa uchi wanawake wenzenu kiasi hiki hamuoni kuwa ni unyanyasaji ila wakiambiwa wavae hijabu ndo mnakuja juu na kusema uislamu unamnyanyasa mwanamke. Enyi tamwa kama kweli mnawapenda wanawake wenzenu kemeeni hii tabia ya wao kudharirishwa.
 
Back
Top Bottom