Utamaduni wa wahindu wanawake kutoa mahari kwa mwanaume katika hili wahindi waliona mbali sana

Mboka man

JF-Expert Member
Aug 22, 2020
478
1,638
Nimejaribu kuutafakari huu utamaduni wa ndugu zetu wahindi linapofika swala la ndoa familia ya mwanamke ndo inawajibika kulipa mahali kwa familia ya wanaume .

Ukituzama kwa mbali hawa ndugu zetu waliona mbali sana sababu walijua kijana wao akioa basi ameowa familia sahihi sio zile familia zenye njaa

Ambazo ukioa ukoo wa mwanamke wote unageuka kuwa tegemezi

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
Ni upumbavu kutuza utamaduni wa kishenzi wa kulipiana mahari sio kwa mwanamke wala kwa mwanaume.

Mtu sio mtumwa huwezi kumnunua mtu kama nyanya na ukaona huo utamaduni una maana sana.

Wote wanao endeleza huu utamaduni wa kulipiana mahari na kununuana kama watumwa ni washenzi.
 
Ni upumbavu kutuzana utamaduni wa kishenzi wa kulipiana mahari sio kwa mwanamke wala kwa mwanaume.

Mtu sio mtumwa huwezi kumnunua mtu kama nyanya na ukaona huo utamaduni una maana sana.

Wote wanao endeleza huu utamaduni wa kulipiana mahari na kununua kama watumwa ni washenzi.
Tafuta hela lofa wewe kipimo cha kwanza kujua unazo pesa na waweza Tunza mke ni mahari.Huna hela ya mahari lofa wewe usioe nenda kawe padre kanisa katoliki
Interview ya kwanza kama unazo na uwezo unao wa kuoa ni mahari huna wanajua mtoto wao ataolewa na lofa ataenda kuteseka huko kwa hicho.kidume lofa cha kutupwa
 
Tafuta hela lofa wewe kipimo cha kwanza kujua unazo pesa na waweza Tunza mke ni mahari.Huna hela ya mahari life wewe usioe nenda kawe padre kanisa katoliki
Interview ya kwanza kama unazo na uwezo unao wa kuoa ni mahari huna wanajua mtoto wai ataolewa na lofa ataenda kuteseka huko
Akili huna huwezi kuelewa nilicho andika. Tafuta akili
 
Malofa ndio huwa hawana hela za mahari
Na ndio kipimo pekee cha uhakika cha kujua mtu anazo na aweza tunza familia yake.Mtu hata hela ya mahari hana si bwege lofa tu hilo litalaza njaa mtoto wa watu
Kwa hiyo hao wahindi mwanamke anaye mlipia mahari mwanaume kipimo cha mwanaume kujua kutunza familia ni kipi ?

Dogo nimekuambia huna akili maandishi yako yana thibitisha hilo. Tumia muda mwingi kutafuta akili kuna siku ndio utaelewa nilicho andika.
 
Ni wazi huelewi unachokisifia, Mwanaume wa kihindi akioa huwa anatumikia familia ya kike bila ubaguzi wa aina yeyote.

Sio anamtumikia mke, anatumikia familia ya kikeni. Ninyi ndugu zetu na ubinafsi wenu kuweza???

Halafu kwanini mnadhani mahari ni big deal? Huwa mnatozwa shingapi? Kwasababu records zinaonesha mahari huwa ni ndogo sana wala huwa haimalizwi yote.

Hata utozwe shingapi haiwezi kuthaminishwa na thamani ya binadamu.
 
Nimejaribu kuutafakari huu utamaduni wa ndugu zetu wahindi linapofika swala la ndoa familia ya mwanamke ndo inawajibika kulipa mahali kwa familia ya wanaume .

Ukituzama kwa mbali hawa ndugu zetu waliona mbali sana sababu walijua kijana wao akioa basi ameowa familia sahihi sio zile familia zenye njaa

Ambazo ukioa ukoo wa mwanamke wote unageuka kuwa tegemezi

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Pole kwa yanayokusubu mkuu kwenye ndoa yako
 
Malofa ndio huwa hawana hela za mahari
Na ndio kipimo pekee cha uhakika cha kujua mtu anazo na aweza tunza familia yake.Mtu hata hela ya mahari hana si bwege lofa tu hilo litalaza njaa mtoto wa watu
Kuna mwanetu tulimchangia mahali chapu Kwa haraka baada ya wakwe kutaja kiasi Cha mahali,akavuta jiko na wakati Hana mpunga huo,kwahiyo wakwe washaingia chaka hapo.
 
Ni wazi huelewi unachokisifia, Mwanaume wa kihindi akioa huwa anatumikia familia ya kike bila ubaguzi wa aina yeyote.

Sio anamtumikia mke, anatumikia familia ya kikeni. Ninyi ndugu zetu na ubinafsi wenu kuweza???

Halafu kwanini mnadhani mahari ni big deal? Huwa mnatozwa shingapi? Kwasababu records zinaonesha mahari huwa ni ndogo sana wala huwa haimalizwi yote.

Hata utozwe shingapi haiwezi kuthaminishwa na thamani ya binadamu.
Mahari ni useless na moja ya tamaduni ya kipuuzi ya kitumwa inapaswa kupigwa ban na kutungiwa sheria kali za kuwawajibisha wote watakao endeleza huo ushenzi kama tu ilivyo fanyika kwenye ukeketaji.
 
Nimejaribu kuutafakari huu utamaduni wa ndugu zetu wahindi linapofika swala la ndoa familia ya mwanamke ndo inawajibika kulipa mahali kwa familia ya wanaume .

Ukituzama kwa mbali hawa ndugu zetu waliona mbali sana sababu walijua kijana wao akioa basi ameowa familia sahihi sio zile familia zenye njaa

Ambazo ukioa ukoo wa mwanamke wote unageuka kuwa tegemezi

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
sio wahindi wote,ni sehemu tu wa wahindi,ambao sisi kwa kiswahili tunawaita mabaniani ndio wana huo utaratibu na mahari yenyewe huo sio pesa bali ni vitu tu,inaweza kuwa dhahabu
 
Kwa hiyo hao wahindi mwanamke anaye mlipia mahari mwanaume kipimo cha mwanaume kujua kutunza familia ni kipi ?

Dogo nimekuambia huna akili maandishi yako yana thibitisha hilo. Tumia muda mwingi kutafuta akili kuna siku ndio utaelewa nilicho andika.
Wanawake wahindi huwa ndio matajiri ndio hutunza familia sio mwanaume
.wahindi wengi hata unaowaona hapa Tanzania mali ni za wake zao mitaji wametoa upande wa mke

Tofautisha na familia za kiswahili wahindi tofauti na sisi ndio.masna kwao mwanamke muhindi ndie huoa na kuamua amuse mwanaume yupi.Na wazazi wa mtoto wa kiume humpangia mahari kuona kama ana uwezo wa kumtunza kijana wao ma familia
 
Wanawake wahindi huwa ndio matajiri ndio hutunza familia sio mwanaume
.wahindi wengi hata unaowaona hapa Tanzania mali ni za wake zao mitaji wametoa upande wa mke

Tofautisha na familia za kiswahili wahindi tofauti na sisi
Na wanawake ndio huwa na maamuzi,,, hapa ndio wamefeli
 
Wanawake wahindi huwa ndio matajiri ndio hutunza familia sio mwanaume
.wahindi wengi hata unaowaona hapa Tanzania mali ni za wake zao mitaji wametoa upande wa mke

Tofautisha na familia za kiswahili wahindi tofauti na sisi
Huna unacho jua acha kuropoka.
 
Back
Top Bottom