Utakuwa wapi? Unakaribishwa tuserebuke!

Gotcha you! ila tatizo la misez babu hachelewili kuomba na kesho aje!

Zoezi na kuungamisha linafanyika mara moja na linakuwa la kueleweka....

Usitie shaka... ataungama dhambi zake zote leo...
 
wapwazzz na binamuzzz....mipangoz yotez ya njez na ndaniz....mizimaz na mibovuz...mnasemaje? kuna mbuzi mee na mbege ya kopo?
 
Huyu atakuwa naye kalewa mbege

images

Hii Timu yote itakuwa Moshi-Kasoro mathematician wetu RIP

images

Ishaoshwa tayari

images
 
Wapendwa katika Bwana,

Nawasalimuni kwa upendo wa Agape.

Nadhani mnajua Jumamosi inayokuja ni Birthday ya Bwana Yesu. Kama kawaida yetu siku hii huwa lazima tuishehereke kwa namna tofauti. Kwa wale ambao kwa namna moja au nyingine hawajaweka logistics za kuisherehekea siku hii, namkaribisha ajumuike nami ( Jinsia haiko kwenye itifaki).

Kwa ambaye atajumuika nami namwomba akariri haka kawimbo ambako ndiko tutafungulia shampeni baada ya kupiga kisusio cha mbusi mee na kuichakachua minyoo kwa mbege ya kopo:

Mbali kulee naaaasikia,
Malaika waaaa mbiiiinguniiii,
Wakiimbaa weeeeengi pia,
Wimbo huo juuu anganiiii
Glooooooh oooooooh oooooooooooh oooooooh riaaaaaa in excelsis Deeeeeeooooooh

Waaachungaaa tuaaaaaambieni,
Sababu ya wiiiiimbo huo,
Mwenye kwimbiiiiiwaaaaa ni nani,
Juu ya nani siiiifaaaaa hizoooooo
Glooooooh oooooooh oooooooooooh oooooooh riaaaaaa in excelsis Deeeeeeooooooh

Je hamjuiiii jambo kuuuu,
La kuzaliwaaaa mwooookozi,
Sababu ya wiiiiimbo huuo,
Ni wa kumshukuru Mweeeeenyeziiii.
Glooooooh oooooooh oooooooooooh oooooooh riaaaaaa in excelsis Deeeeeeooooooh
:drum::violin::humble::horn::cheer2::lalala::lalala::A S-heart-2::amen:

Kaizer kathibitisha uwepo wake kwenye kupiga organ, Nguli atakondakti, Kimey sauti ya tatu, Roya ya nne. Teamo atakuwa anamnywesha Gift mbege kwa mara ya kwanza. Finest atapiga ngoma, na wajukuu watkabidhiwa makayamba.

Watani zangu mnakaribishwa.

Heri ya Krisimasi na Mwaka Mpya kwa watakaofanikiwa kuuona. Amen
Nami ntakua waiter ili kuhakikisha kila member anapata mbege ya kopo na huduma zingine za hapa na pale
MERRY X MASS n HAPPY NEW YEAR!!
 
Ikiwa buchani

images
images

Inaandaliwa

images

Mezani kwa kuliwa

images
images
images

Je ni mdudu gani huyu kwa ajili xsmas?

images
images

Nguli nakutunukia NISHANI ya LISHE BORA.

Kwaheri mkoloni, sina jinsi nalazimika kwenda kwa ASENGA anipimie japo Nusu kilo.
 
hivi sheria ameishaingia mjini????

Sharia?sheria? kama ni SHARIA tena hao ndio walaji wa mdudu ile mbaya

Nguli nakutunukia NISHANI ya LISHE BORA.

Kwaheri mkoloni, sina jinsi nalazimika kwenda kwa ASENGA anipimie japo Nusu kilo.

Mkuu nashukuru kwa nishani umemwona mzee anapiga na ngera uliochanganywa na msesewe? Landrover iko service pale victoria tayari kwa safari ya usiku kuelekea mkoa wa AHADI-KAANANI
 
Sharia?sheria? kama ni SHARIA tena hao ndio walaji wa mdudu ile mbaya

Mkuu nashukuru kwa nishani umemwona mzee anapiga na ngera uliochanganywa na msesewe? Landrover iko service pale victoria tayari kwa safari ya usiku kuelekea mkoa wa AHADI-KAANANI
Hahahaha.... mkuu hiyo landrova itamtosha mama WiseLoad sore Ai miin Wiselady? Ameniahidi atajumuika nasi kwenye kuria kidoko.
 
Back
Top Bottom