Utajuaje kuwa ukaribu wenu ni zaidi ya 'urafiki'?

Once happen na iliniumiza sana huwa sitaki kukumbuka. Ilianza kama utani as a friend tena familia yao ikiwa family friend mambo yakaendelea kuitana rafiki rafiki nikajua she is in the same track kumbe nilijidanganya. Kilichotokea ni mimi najua.........
 
Mmekuwa watu wa karibu kitambo sasa,labda mko ofisi moja,darasa moja,mtaa mmoja etc. Mnaelezana mambo mengi hata yanayohusu mahusiano yenu ya kimapenzi na watu wengine. Mkiudhiwa na wapenzi wenu mnaambizana na kufarijiana,mkifurahishwa hali kadhalika.Ghafla mnaanza kuhisi mazungulukee na mahusiano yetu yanaanza kubadilika,kawivuuu kwa mbaaaaali kanaanza. Tuulizane wadau,ishawahi kukutokea hii,ulii handle vipi situation, kwa waliopitia hali hii nini dalili za kwanza kwamba 'ukaribu' unaanza kutoka ngazi ya 'urafiki' na kuwa 'romantic',je mwenzako aliipokeaje hii hali je naye alikudondokea au ndo yalikuwa mambo ya kuumizana roho? na je hao ma ex wenu waliichukuliaje ukizingatia wao walikuwa wanajua ninyi ni marafiki tu hivyo hata outing mlikuwa mnatoka wote?
.....Jumapili njema,Tanzania 5 Morocco 0......

mkishaanza kuoneana wivu automatically mnapendana...maajabu huwa mmoja huingia mzima mzima na unaweza cku moja akakwambia niliogopa kukwambia nina mtu..mi ilivyonitokea nilimchukia huyo mdada kweli maana its like u are being Used ili uwe karibu yake..
 
Once happen na iliniumiza sana huwa sitaki kukumbuka. Ilianza kama utani as a friend tena familia yao ikiwa family friend mambo yakaendelea kuitana rafiki rafiki nikajua she is in the same track kumbe nilijidanganya. Kilichotokea ni mimi najua.........

maumivu yake bora upigwe mkuki...unajua nini inakuwa kama loose ball vile mara ghafla mambo yanachange
 
Niliitwa wifi, mkwe, na kupigiwa simu na mama, dada na hata kaka zake! Walitaka kunijulia hali na kunikaribisha wweek end for lunch au dinner!
Ikabidi nimuulize rafiki ni nini kinaendelea kwani hapo mi nilikuwa nishazama na kuhusi hivyo kwa mwenzangu!
Alas, hakuwa tayari kwa hatua mbele zaidi ingawa alinipenda!na kudai kuwa kama nita-step back atakuwa amepoteza mtu wa maana/muhimu katika maisha yake. Basi, nikaamua kupiga hatua nyuma na kupunguza mawasiliano na wote katika hiyo familia. Hivi sasa tuko mbali na mwasiliano ni ya kawaida kabisa.
 
sio vizuri
 
Mmekuwa watu wa karibu kitambo sasa,labda mko ofisi moja,darasa moja,mtaa mmoja etc. Mnaelezana mambo mengi hata yanayohusu mahusiano yenu ya kimapenzi na watu wengine. Mkiudhiwa na wapenzi wenu mnaambizana na kufarijiana,mkifurahishwa hali kadhalika.Ghafla mnaanza kuhisi mazungulukee na mahusiano yetu yanaanza kubadilika,kawivuuu kwa mbaaaaali kanaanza. Tuulizane wadau,ishawahi kukutokea hii,ulii handle vipi situation, kwa waliopitia hali hii nini dalili za kwanza kwamba 'ukaribu' unaanza kutoka ngazi ya 'urafiki' na kuwa 'romantic',je mwenzako aliipokeaje hii hali je naye alikudondokea au ndo yalikuwa mambo ya kuumizana roho? na je hao ma ex wenu waliichukuliaje ukizingatia wao walikuwa wanajua ninyi ni marafiki tu hivyo hata outing mlikuwa mnatoka wote?
.....Jumapili njema,Tanzania 5 Morocco 0......

One thing i know ni kua if you have a great guy friend na mkaingia Uhusiano wa Mapenzi... You loose more than you gain for guys as friends are really good and reliable.... He is always there for you... Sometimes kuliko hata Mpenzi wako....
 
lakini ujue urafiki wa mwanamke na mwanaume kwa ukaribu lazima mtokomee hukooo emotionally yaani..na msithubutu wote muwe single
 
Mara nyingi kama mlianza tu Urafiki wa kawaida.... Vitu kama Kumpoteza umpendae.. matatizo ya hapa na pale... stress or niseme mambo yale yoote ambayo yanahitaji ukaribu wa mtu ambae ni better half ndio hupelekea iwe hivo... BUT kama urafiki ulianza kwa kutongozwa na hukumkubalia for the simple reason humkumpenda... then maybe with time akagundua you are good company a lot of guys huridhika kua friends.. hapo mwaweza kaa vizuri kabisa kama friends....
 
One thing i know ni kua if you have a great guy friend na mkaingia Uhusiano wa Mapenzi... You loose more than you gain for guys as friends are really good and reliable.... He is always there for you... Sometimes kuliko hata Mpenzi wako....
Ni kweli kabisa kwani kwani ikiwa mlianza kama rafiki badae wapenzi, mara nyingi mapenzi yakiisha hayaishi "kirafiki" kwa hiyo utakuwa umepoteza mpenzi na rafiki.
Kwenye red, nahisi hata girls as friends are really good and reliable. Nawashangaa wanosema hakuwezi kuwa na urafiki baina ya jinsia mbili tafauti!
 
Naona ni kutokana na ukweli kua wengi hushindwa... mara nyingi huanza with a terrible mistake ya kulala bila kukusudia... then wananogewa na kuamua kuendelea.... Hivo kufuta friendship na kuleta an affair.... Na mara nyingi yaweza kua successiful for kumbuka hawa they were friends before hata mambo ya SEX huweza ongea... Hivo mapema mtu anajipanga jinsi gani ya kuenda kumridhisha mwenzie...
 
maumivu yake bora upigwe mkuki...unajua nini inakuwa kama loose ball vile mara ghafla mambo yanachange

Wacha kabisa na unajikuta ukiwa na matumaini makubwa kuwa atakuwa fulani maishani mwangu kibao kinageuka unajikuta umempoteza kama rafiki pia
 
Mara nyingi kama mlianza tu Urafiki wa kawaida.... Vitu kama Kumpoteza umpendae.. matatizo ya hapa na pale... stress or niseme mambo yale yoote ambayo yanahitaji ukaribu wa mtu ambae ni better half ndio hupelekea iwe hivo... BUT kama urafiki ulianza kwa kutongozwa na hukumkubalia for the simple reason humkumpenda... then maybe with time akagundua you are good company a lot of guys huridhika kua friends.. hapo mwaweza kaa vizuri kabisa kama friends....

aliyeweka thread alimaanisha coincidence no seducing each other hapo! Wote hamna wapenz, wote mmeachwa kabla hapo patamu ndugu...na mara nying huwa haina kutongozana hii
 
Believe me you... Hapo no seducing for the vitendo huchukua Mkondo.... ila hatari saana kama woote hamna marafiki BUT yaweza kua hivo BUT ikiwa mmoja hataki... hio nayo issue for tayari doa katika urafiki!!
 
Mara nyingi kama mlianza tu Urafiki wa kawaida.... Vitu kama Kumpoteza umpendae.. matatizo ya hapa na pale... stress or niseme mambo yale yoote ambayo yanahitaji ukaribu wa mtu ambae ni better half ndio hupelekea iwe hivo... BUT kama urafiki ulianza kwa kutongozwa na hukumkubalia for the simple reason humkumpenda... then maybe with time akagundua you are good company a lot of guys huridhika kua friends.. hapo mwaweza kaa vizuri kabisa kama friends....
basi ngoja nikupe kisa..miaka 5 nyuma nilikutana na mdada bank mza na nilisoma nae o lever miaka ming nyuma bt i was far ahead to her...tukabadilishana mawazo na story nyingi siku hiyo na contacts tuka-exchange km mwezi after akanicall ni kutaka nimtafute ok nikamwelekeza home akaja then tukawa marafiki wa kawaida bwana we akafariki baba yake kwa ajali ghafla singida basi ndo nikawa karibu yake sana akawa hataki nimwache hata dakika moja nikitoka job nakwenda kumpa HI japo kidogo, muda baadae nikaenda chuo udsm basi mwenzangu akakosa raha huyo eti nitamsahau na nitamtosa nikihama rock city alaa nikajua ashanipenda nikajiturne kimapenzi zaidi kwani alikuwa presentable na mpole sana..kama miezi michache sijaondoka akataka OUT namimi ndo akaenda kuniomba radhi eti hajui km nampenda au vp? Eti ana mchumba wake? Nikamuuliza huyo mchumba mbona msibani hakuja? Kigugumizi kingi nikaondoka zangu mi hasira kibao mpuuzi kweli mpaka leo mawasiliano sufuri..
 
One thing i know ni kua if you have a great guy friend na mkaingia Uhusiano wa Mapenzi... You loose more than you gain for guys as friends are really good and reliable.... He is always there for you... Sometimes kuliko hata Mpenzi wako....

ashadii kweli kabisa. Ni bora kumaintain friendshp kuliko kuvuka next stage.
Wanaume wengine ni wabishi katika hilo.
 
Unaweza kuniita old fashioned lakini ndio maana mimi huwa nasisitiza hakuna kitu kama urafiki wa karibu baina ya jinsia mbili tofauti (I mean best friend thing). Hiyo kitu lazima mwisho wa siku mmoja wapo imzidi, imenitokea sana tu.

mjasiria nakukubalia kabisa. Ugumu upo kwa wanaume, wengi hutaka kuvunja urafiki na kuwa wapenzi. Wengine unaona vidalili tu vya mabadiliko.
 
basi ngoja nikupe kisa..miaka 5 nyuma nilikutana na mdada bank mza na nilisoma nae o lever miaka ming nyuma bt i was far ahead to her...tukabadilishana mawazo na story nyingi siku hiyo na contacts tuka-exchange km mwezi after akanicall ni kutaka nimtafute ok nikamwelekeza home akaja then tukawa marafiki wa kawaida bwana we akafariki baba yake kwa ajali ghafla singida basi ndo nikawa karibu yake sana akawa hataki nimwache hata dakika moja nikitoka job nakwenda kumpa HI japo kidogo, muda baadae nikaenda chuo udsm basi mwenzangu akakosa raha huyo eti nitamsahau na nitamtosa nikihama rock city alaa nikajua ashanipenda nikajiturne kimapenzi zaidi kwani alikuwa presentable na mpole sana..kama miezi michache sijaondoka akataka OUT namimi ndo akaenda kuniomba radhi eti hajui km nampenda au vp? Eti ana mchumba wake? Nikamuuliza huyo mchumba mbona msibani hakuja? Kigugumizi kingi nikaondoka zangu mi hasira kibao mpuuzi kweli mpaka leo mawasiliano sufuri..

Kashengo what you did is not fair!! Alifiwa na mumewe of course alikua mpweke.... Ukitaka mapenzi ya kweli kabisa Neva take advantage of a person amabae yupo that vulnerable.... lazima in the long run mara nyingi utaishia kuwa Dissappointed... Believe me... Na hio kuenda kwako UDSM was the best thing for her for naamini for the first time alikalisha na ku analyse the whole situation... Hata hivo pole saana Kashengo... I know how it hurts...
 
ashadii kweli kabisa. Ni bora kumaintain friendshp kuliko kuvuka next stage.
Wanaume wengine ni wabishi katika hilo.

Mara nying ubishi wa wanaume unachangiwa saana na vitendo vya Mwanamke... Kuna njia nyingi za kukataa ukasikika.... But huwezi kataa kwa maneno while vitendo ni vingine kabisa... mara umeshika accidentally... mara una mhandle kama vile boyfriend... a.k.a. possessiveness....
 
Back
Top Bottom