Utajuaje ajira uliyonayo si sahihi kwako?

Equation x

JF-Expert Member
Sep 3, 2017
29,490
40,508
Huu uzi ni muhimu kwa wale wote wenye viashiria vya kuja kuwa mjasiriamali na anayejisimamia mwenyewe kwenye biashara zake.

Wapo watu wanaishi katika mazingira magumu sana ingawa bado wapo kwenye ajira. Mahitaji ni mengi kuliko mapato, leo anapokea mshahara baada ya siku saba hela imeisha na anabaki kuwa na madeni au anakuwa anaishi maisha ya kutangatanga.

Unajikuta unajiuliza swali, ulisoma ili upate hela na ndani ya siku saba hela iishe?

Wengine wanavumilia wanasema, nikiacha hii kazi nitapata wapi nyingine? Je nitazoeaje mazingira mengine ya kazi? Mwingine atasema, siwezi kuacha ajira hii ya kudumu ata kama nalipwa kidogo n.k

Kwa kifupi, maisha ni sasa na si kesho; ukipata unapolipwa vizuri ata kama ni mkataba wa miaka miwili, utafanya mambo yako mapema na utajiwekeza kibiashara na maisha yatasonga vizuri, kuliko kukaa sehemu miaka 30 unalipwa ujira mdogo na mwisho wa siku ndoto zako hazitimii.

Ukiona mshahara unaisha kabla ya mwezi kufikia katikati; ni ishara ya kukuambia tafuta kazi nyingine yenye ujira mkubwa kuliko hiyo ya sasa; tuma maombi sehemu nyingi uwezavyo ata nje ya nchi, kutoka na uwezo wa akili ulionao.

Mwenye akili afanye maamuzi, muda ni sasa.

Kwa sisi tunaofanya kazi kwa wahindi

Umepita humo humo aiseeeeeee

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
Uzi uwekewe lamination
 
Kwenye heading umetuuliza swali. Ila kwenye contents za Uzi, umedraw conclusion, nimeshindwa niende na ipi shemeji
 
Back
Top Bottom