Utajiri wa wachungaji Rwakatare, Gwajima, Mwingira na Mzee wa upako na uhalisia wa makanisa yao(Majengo ya kuabudia)

"Kwa nini watu wasikimbilie kwenye uislamu ambao ndio dini ya Allah?"

Kwa hiyo sentensi umepoteza thamani ya uzi wako.
true alianza vizuri tu,akaja kuboronga mbele uzi wake huu ungekuwa na mashiko ile mbaya
 
Wakuu habarini za asubuhi?

Kabla sijaenda kwenye mada naomba nifafanue kidogo. Lengo langu si malumbano ya kidini bali ni kutaka kutoa yale yanayoisumbua akili yangu likupata majibu badala ya kuendelea kujiuliza kila siku.

Naomba nieleweke nawapenda wakristo maana ni ndugu zangu ingawa mm ni muislam.

Niende kwenye mada.
Nimekuwa nikijiuliza kwann wachungaji Matajiri wakubwa wenye majina makubwa yaani maarufu makanisa yao kwa maana ya majengo hayana uhalisia na utajiri wao? I mean hanaya hadhi ,
Nimejiuliza bila majibu , tuangalie mchungaji mmoja mmoja.
View attachment 559345
1. Mchungaji Rwakatare.
Huyu ni mchungaji tajiri sana, inasemekana kanisa lake lina zaidi ya waumini elf15 (nipo tayari kukosolewa)
Pamoja na hilo ana miradi mingine mingi ikiwemo shule za st. Mary's.

Chakushangaza nikuwa kanisa yaani jengo analotumia kuabudia halina hadhi kbsa, nimekosa picha ya jengo hilo kwa muonekano wa nje japo kwa ndani nimepata,kwa ndani limepambwa huwezi kuona ubaya ....
View attachment 559350

Chakushangaza kingine ni kwamba yeye anaishi kwenye nyumba ya thamani kubwa pengine gharama zake ni kubwa kuliko za hilo kanisa lake.

View attachment 559352
Usafiri wake pia ni ghali mno .
Swali;
Kwann hajengi kanisa lenye hadhi ya utajiri wake?
Kanisa lenye kiyoyozi ?

Tukimwita mbinafsi , mwenye lengo la kupiga pesa kupitia dini tutakuwa tumekosea?

Kwann waumini wake hawajali hali ya jengo na kuchangia ujenzi ? Kwa uwingi wao nn kinashindikana?

View attachment 559365
2. Mchungaji Gwajima
Huyu naye ni tajri anayemiliki gari la kifahari, helkopta na ndege mpya ambayo bado ni gumzo
Lkn kanisa lake halina tofauti na banda na lipo kwenye njia ya umeme mkubwa ambao unaweza kuleta madhara makubwa ikitokea itilafu.
View attachment 559354View attachment 559356View attachment 559359

3. Mwingira.
Naye huyu hivyo hivyo ni tajiri mwenye kumiliki mpaka benki, pia ana jumba la kifahari wakati kanisa lake ni sawa na banda

View attachment 559360View attachment 559361

4. Mwngine ni mzee wa upako au transformer kama anavyojiita
Kanisa lake pia halina hadhi ya utajiri anaojitapa nao.
View attachment 559364
Sasa naomba wahusika au yoyote anayeweza kunipa majibu ya maswali yangu afanye hivyo ili angalau nione kweli ukristo unaweza kuwa dini ya mwenyezi Mungu.

Je ni kweli hawa wachungaji wana nia ya kufundisha watu kujua Mungu ?

Je hawana nia ya kujitajirisha kupitia imani ya dini?

Je ukristo ni dini ya kibiashara?

Ni Mungu gani anayewatuma wanyonye wanyonge na kujitajirisha wao na watoto wao?

Kwann watu wasikimbilie kwenye uislam ambao ndiyo dini ya Allah?

Naomba tuchangie kistaarabu na lugha za kistaha.

Karibuni.
Nilitegemea uje na hoja za kuuelimisha umma kuhusu uislam na ugaidi! Jamii imejenga taswira mbaya sana huku wengi wakidhani kuua, kujilipua ndo mafundisho ya dini! Siku nyingine fanya hivyo, sioni sababu ya kwenda kuzima moto kwa jira ilhali nyumba yako inateketea!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mleta mada nataka nikupongeze kwa kudhihirisha nia yako ya kuutukana ukristo. Maana hapo hata nia yako ni kuongelea Ukristo na wala siyo hao watu uliowataja kabisa. Ni misikiti mingapi ambayo haina hadhi ukilinganisha na waislamu wanaoswali humo? Unakuta ni matajiri kwelikweli lakini msikiti anaosali haulingani na hadhi yake. Nyumba anayoishi tu anaweza jenga misikiti zaidi ya 20.

Haina maana uislam ni dini fake ni dini kama dini nyingine tu na bado ina hadhi ya kuitwa dini. Nani alikuambia dini ni jengo? Kwani uislam ni jengo!? Nashukuru kwa sababu ulitanguliza tuchangie kwa staha otherwise hauna hadhi ya kujibiwa kwa staha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanini waislam wengi (wanawake) wanapenda kuingiliwa kinyume na maumbile ?....... nimewabwaga wengi sana kwa hivi visa vyao na nimeshuhudia matundu yao ya haja kubwayakiwa makubwa mno

Kwani alichouliza kinahusiano ulichoandika? Wakati fulani ni vema kuwa na hekima juu ya mambo unayoweza kuandika. Maana ulivyoandika unaonesha hata ukristo Huna heshima nao na hata mafundisho ya kristo hayapo moyoni mwako!!
 
Wakuu habarini za asubuhi?

Kabla sijaenda kwenye mada naomba nifafanue kidogo. Lengo langu si malumbano ya kidini bali ni kutaka kutoa yale yanayoisumbua akili yangu likupata majibu badala ya kuendelea kujiuliza kila siku.

Naomba nieleweke nawapenda wakristo maana ni ndugu zangu ingawa mm ni muislam.

Niende kwenye mada.
Nimekuwa nikijiuliza kwann wachungaji Matajiri wakubwa wenye majina makubwa yaani maarufu makanisa yao kwa maana ya majengo hayana uhalisia na utajiri wao? I mean hanaya hadhi ,
Nimejiuliza bila majibu , tuangalie mchungaji mmoja mmoja.
View attachment 559345
1. Mchungaji Rwakatare.
Huyu ni mchungaji tajiri sana, inasemekana kanisa lake lina zaidi ya waumini elf15 (nipo tayari kukosolewa)
Pamoja na hilo ana miradi mingine mingi ikiwemo shule za st. Mary's.

Chakushangaza nikuwa kanisa yaani jengo analotumia kuabudia halina hadhi kbsa, nimekosa picha ya jengo hilo kwa muonekano wa nje japo kwa ndani nimepata,kwa ndani limepambwa huwezi kuona ubaya ....
View attachment 559350

Chakushangaza kingine ni kwamba yeye anaishi kwenye nyumba ya thamani kubwa pengine gharama zake ni kubwa kuliko za hilo kanisa lake.

View attachment 559352
Usafiri wake pia ni ghali mno .
Swali;
Kwann hajengi kanisa lenye hadhi ya utajiri wake?
Kanisa lenye kiyoyozi ?

Tukimwita mbinafsi , mwenye lengo la kupiga pesa kupitia dini tutakuwa tumekosea?

Kwann waumini wake hawajali hali ya jengo na kuchangia ujenzi ? Kwa uwingi wao nn kinashindikana?

View attachment 559365
2. Mchungaji Gwajima
Huyu naye ni tajri anayemiliki gari la kifahari, helkopta na ndege mpya ambayo bado ni gumzo
Lkn kanisa lake halina tofauti na banda na lipo kwenye njia ya umeme mkubwa ambao unaweza kuleta madhara makubwa ikitokea itilafu.
View attachment 559354View attachment 559356View attachment 559359

3. Mwingira.
Naye huyu hivyo hivyo ni tajiri mwenye kumiliki mpaka benki, pia ana jumba la kifahari wakati kanisa lake ni sawa na banda

View attachment 559360View attachment 559361

4. Mwngine ni mzee wa upako au transformer kama anavyojiita
Kanisa lake pia halina hadhi ya utajiri anaojitapa nao.
View attachment 559364
Sasa naomba wahusika au yoyote anayeweza kunipa majibu ya maswali yangu afanye hivyo ili angalau nione kweli ukristo unaweza kuwa dini ya mwenyezi Mungu.

Je ni kweli hawa wachungaji wana nia ya kufundisha watu kujua Mungu ?

Je hawana nia ya kujitajirisha kupitia imani ya dini?

Je ukristo ni dini ya kibiashara?

Ni Mungu gani anayewatuma wanyonye wanyonge na kujitajirisha wao na watoto wao?

Kwann watu wasikimbilie kwenye uislam ambao ndiyo dini ya Allah?

Naomba tuchangie kistaarabu na lugha za kistaha.

Karibuni.
Mkuu tembelea Kanisa la Askofu Mwenesongole pale upanga opposite na Mzumbe university utaburudika na roho yako achana na hao wanasiasa!
 
Kwani alichouliza kinahusiano ulichoandika? Wakati fulani ni vema kuwa na hekima juu ya mambo unayoweza kuandika.
mleta mada kaandika kwa hekima sana andishi lake
Maana ulivyoandika unaonesha hata ukristo Huna heshima nao na hata mafundisho ya kristo hayapo moyoni mwako!!
:eek:o_O:D:D:D:D
PANYAH 1000 WEWE
 
Huo ni mtazamo wako tu mkuu,Uzi wangu upo mpaka leo haujafutwa
Mpendwa elewa kuwa Mungu tunaye mwabudu hapendi watu wake wawe masikini.
Anasema mimi ndiye Mungu nikupaye utajiri.
Dhahabu na fedha ni mali yangu.
Njoo kwa Bwn Yesu kuna faida nyingi.
Utapata majibu ya maswali yako.
Ubarikiwe!!
 
Waislamu wana mapepo pia wanawake wa kiislamu ni wachafu, kuvaa baibui ni kujiumiza na kuhifadhi uchafu mwilini mwao.

Kamwe hawavai na kupendeza kuonekana vizuri.

Ndugu zangu waislamu kuweni wasafi na nawashauri muingie kwenye dini ya ukristo.

Dini bora zaidi na yenye nguvu na mafundisho mazuri ya kimaadili na kumjua Mungu zaidi.

Mungu wa kweli,
Mungu Mwenye huruma
Yehova uhimidiwe.
Pamoja na kujianika kote bado tu biashara ngumu? Aisee pole
 
Hahaha kiukweli majina karibia yote ya waislamu hasa wanawake ni majina ya majini Maimuna, zainabu, husna, sharifu, zulfa, yasini nk hayo yote ni majina ya majini.
Hivi na wewe nae ni great thinker? Hivi vitoto vinatabu sana aisee! Vikichoka huko fesibuku vinakimbilia huku kuja kuharibu.
 
Wakuu habarini za asubuhi?

Kabla sijaenda kwenye mada naomba nifafanue kidogo. Lengo langu si malumbano ya kidini bali ni kutaka kutoa yale yanayoisumbua akili yangu likupata majibu badala ya kuendelea kujiuliza kila siku.

Naomba nieleweke nawapenda wakristo maana ni ndugu zangu ingawa mm ni muislam.

Niende kwenye mada.
Nimekuwa nikijiuliza kwann wachungaji Matajiri wakubwa wenye majina makubwa yaani maarufu makanisa yao kwa maana ya majengo hayana uhalisia na utajiri wao? I mean hanaya hadhi ,
Nimejiuliza bila majibu , tuangalie mchungaji mmoja mmoja.
View attachment 559345
1. Mchungaji Rwakatare.
Huyu ni mchungaji tajiri sana, inasemekana kanisa lake lina zaidi ya waumini elf15 (nipo tayari kukosolewa)
Pamoja na hilo ana miradi mingine mingi ikiwemo shule za st. Mary's.

Chakushangaza nikuwa kanisa yaani jengo analotumia kuabudia halina hadhi kbsa, nimekosa picha ya jengo hilo kwa muonekano wa nje japo kwa ndani nimepata,kwa ndani limepambwa huwezi kuona ubaya ....
View attachment 559350

Chakushangaza kingine ni kwamba yeye anaishi kwenye nyumba ya thamani kubwa pengine gharama zake ni kubwa kuliko za hilo kanisa lake.

View attachment 559352
Usafiri wake pia ni ghali mno .
Swali;
Kwann hajengi kanisa lenye hadhi ya utajiri wake?
Kanisa lenye kiyoyozi ?

Tukimwita mbinafsi , mwenye lengo la kupiga pesa kupitia dini tutakuwa tumekosea?

Kwann waumini wake hawajali hali ya jengo na kuchangia ujenzi ? Kwa uwingi wao nn kinashindikana?

View attachment 559365
2. Mchungaji Gwajima
Huyu naye ni tajri anayemiliki gari la kifahari, helkopta na ndege mpya ambayo bado ni gumzo
Lkn kanisa lake halina tofauti na banda na lipo kwenye njia ya umeme mkubwa ambao unaweza kuleta madhara makubwa ikitokea itilafu.
View attachment 559354View attachment 559356View attachment 559359

3. Mwingira.
Naye huyu hivyo hivyo ni tajiri mwenye kumiliki mpaka benki, pia ana jumba la kifahari wakati kanisa lake ni sawa na banda

View attachment 559360View attachment 559361

4. Mwngine ni mzee wa upako au transformer kama anavyojiita
Kanisa lake pia halina hadhi ya utajiri anaojitapa nao.
View attachment 559364
Sasa naomba wahusika au yoyote anayeweza kunipa majibu ya maswali yangu afanye hivyo ili angalau nione kweli ukristo unaweza kuwa dini ya mwenyezi Mungu.

Je ni kweli hawa wachungaji wana nia ya kufundisha watu kujua Mungu ?

Je hawana nia ya kujitajirisha kupitia imani ya dini?

Je ukristo ni dini ya kibiashara?

Ni Mungu gani anayewatuma wanyonye wanyonge na kujitajirisha wao na watoto wao?

Kwann watu wasikimbilie kwenye uislam ambao ndiyo dini ya Allah?

Naomba tuchangie kistaarabu na lugha za kistaha.

Karibuni.
Tatizo ma Sheikh wenu wao hata wakipata buku kumi wanaishia kuhonga na kuo mke mwingine.
What do you expect ????
 
Mwanzilishi Wa uislam alikuwa kati ya wafanya biashara Wa wakati huo,je kwa mfano wako,uislam si dini ya Mungu? Mfalme Suleiman alikuwa kati ya matajiri wakubwa enzi zake,je kwa mfano wako hakuwa anamtumikia Mungu?Ibrahim ajulikanaye kama baba Wa Iman ambaye hata waislam wanampa heshima kubwa kwa ibada ya kuchinja,naye alikuwa tajiri mkubwa Wa enzi zake,je kwa mfano wako hakuwa mtumishi Wa Mungu? Waislam kwa aslmia kubwa Tanzania ndiyo matajiri lakini dini hiyo haina utajiri kama walio waumini na viongozi wake,kwa mfano wako wataka kusema uislam na waislam matajiri Tanzania si dini Ama wafuasi Wa Mungu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Af hawamwogop Mungu,..yaan wala hawaogop,maana kiukwel tujiulize,pesa ya kununua hummer,or plane,or jumba la kifahar vile pesa anapatA wap?si ndo sadaka zetu jaman,..ila serikal inawapenda hawa wa injilist sabab wana calm pipo down then kunakua na aman,nchi inakua safe,ndomana governments haziwagus,ingawa wanajua utapel wanaofanya,imagine wasingekuepo hawa,si ingekua vita ..
 
Wanamiliki vitu vikali kutokana na sadaka za mazuzu, kwemye uislam hakuna huo upuuzi kila mtu ale jasho lake.

Sent using Jamii Forums mobile app
katika ukristo sio lazima kutoa sadaka halafu uzuzu upo kwenye dini yenu baada msaidiane wenyewe mnaenda maka kupiga jiwe na kuwaingizia waarabu pesa za kwenda kwao kwa utalii ndio maana iran anaona saudia anapiga pesa analitamani jiwe jeusi amka kilaza wewe
 
Sijui hayo mengine ila ninachokijua Mimi na maandiko yalichosema.
Fedha na dhahabu ni mali ya Bwana.
Utajiri na heshima vipo kwangu, utajiri wa haki na udumuo.
Natembea katika njia ya haki, katikati ya mapito ya hukumu, nipate kuwarithisha mali wale wanipendao tena nipate kuzijaza hazina zao.
Methali 8, 18_22.
Kwamaana hii usishangae mtumishi wa Mungu kuwa Tajiri.

Mtoleeni Bwana Fungu la kumi.
Leteni sadaka zenu gharani mwake, kisipungue chakula nyumbani mwake.
Malaki 3, 8_10.

Kwa mana hii kutoa sadaka ni agizo la Mungu na si la mtu.

Watu wote duniani wanatoa sadaka hakuna asiyetoa, ila tunatofautiana wapi tunakotoa hizo sadaka wengine wanatoa kwa Mungu, kulingana na Imani yao kama misikitini ama makanisani.
Wengine wanatoa kwa shetani.
Na wengine wanatoa kwa wahitaji katika jamii hata kama wao ni wapagani na Mungu bado anawanariki kwasababu maandiko yanasema kumsaidia masikini ni kumkopesha Bwana.

Usiwe na tabia ya kujisifu kwa dini yako ila simamia imani yako.
Kwa kuwa imani ni;kuwa na hakika yamambo yatarajiwayo ni bayana ya mambo yasio onekana. Waebrania 11,1_2.

Ila unapoitaji dini na kujisifu kwayo basi uangalie maandiko yanatuambia nini.
Tunasoma.
Basi dini iliyo ya kweli ni hii, kuwajali yatima, wajane na wenye uhitaji. Mtu akitaka kujisifu ajisifu kwayo.

Malachi 3:8-12New King James Version (NKJV)

Do Not Rob God
8 “Will a man rob God?
Yet you have robbed Me!
But you say,
‘In what way have we robbed You?’
In tithes and offerings.

9 You are cursed with a curse,
For you have robbed Me,
Even this whole nation.

10 Bring all the tithes into the storehouse,
That there may be food in My house,
And try Me now in this,”
Says the Lord of hosts,
“If I will not open for you the windows of heaven
And pour out for you such blessing
That there will not be room enough to receive it.

11 “And I will rebuke the devourer for your sakes,
So that he will not destroy the fruit of your ground,
Nor shall the vine fail to bear fruit for you in the field,”
Says the Lord of hosts;

12 “And all nations will call you blessed,
For you will be a delightful land,”
Says the Lord of hosts.
 
Back
Top Bottom