Utajiri wa Ridhwani wamweka pabaya Kikwete

Status
Not open for further replies.
Sura ilikuwa imempwaya kinoma hana hata confidence mbele ya press kweli huyu dogo ni kilaza. Ana trick za kale kinoma!
 
hALAFU amesema anamiliki akaunti 3, crdb, Stanbic, na baclays, japo hajasema kuwa zina shiing ngapi!
Na anasema ana heka 1.5 za shamba, na si zaidi ya hapo!.ha ha haaaa!, mtoto kaguswa pabaya huyu, sasa atadhalilika!
Nadhani baba yake amemlazimisha ajitetee, vinginevyo anavuliwa gamba kwa maji ya moto!
Na gari moja Toyota Camry
 
sasa ushahidi siunao wa unayoyapinga? mi nadhani kama unabisha kisomi wewe na akina slaa mdhihirishe huo ushahidi aliouomba. Unajua kaka mtu kuongea unaweza kuongea sana lakini inapofikia kwenye point ya ushahidi basi toa ushahidi wako ulionao kisha sisi watanzania tutapima nani muongo na anaongopa kwa maslahi ya nani
Watasema kila kitu walichochukua wanaanzaga kwa kukanusha, amejiingiza mwenyewe kwenye mtego kwanza kule kuanza kujibu ni dalili ya kiwewe.
 
Nimemuona sasa hivi ITV anasema anawapa siku 7 wanaomtuhumu kuwa ana mali zaidi, watoe ushahidi, au sio atawafungulia mashtaka.

Huyu dogo hana washauri makini. Huwezi kwenda kwenye media na kutishia watu, alichotakiwa kukifanya ni kukanusha habari hii kuwa yeye si Tajiri au afungue mashitaka moja kwa moja. kitendo cha kwenda public na kutoa siku hakitamfanya awe salama. Ni nani asiyejua kuw Tanzania unaweza amka asubuhi na kubadili jina kitu?, yaani muda wote huu alikuwa kimya kajichimbia anabadili hati za majina baada ya kuona amefanikiwa ndiyo anakuja kutishia watu nyau. Aangalie hii itakula kwake na baba yake watu huwa hawakurupuki kutoa matamko
 
It seems like Sangara una data za jamaa wewe!!! Au best Friend au ndio Ridhiwani mwenyewe, manake mimi mlalahoi nimesikia siku nyingi from my Friend huko Serengeti kuwa ana bonge moja la hotel, tena limejengwa kiajabu sana kwani liko Mbugani lakini miti haikukatwa na wanyama wanaendelea kuvinjari huku watalii nao wakiendelea kuvinjari. Nasikia staff wake wanalipwa dau kubwa na wanachukuliwa na kurudishwa na magari ya kitalii. Kama kuna ambaye ana data kuhusu tetesi hizi basi atujuze. Ingawaje ni kweli watu wanayajua mengi shida ni hizo evidence. Really kabisa jamaa aliyeniambia ni Mhasibu alikuwa akitamani kuacha kazi kwenye Halmashauri ili akatafute kazi huko.
Huoni watakiwa utoe vivid evidence ili tupate kuchekecha ukweli wa mambo?
naweza sema Riz1 anamiliki hoteli ya kisasa serengeti ili kunogesha habari na kupoteza muda na wajinga watashabikia.
plz hebu tusiaibishe jukwaa hili kwa kuandika chochote ujisikiacho wakati huwezi thibitisha.
 
Kama kusikia husikii, hata picha huoni?

kaka kusema unaweza kusema kila ulipendalo lakini unapoombwa ushahidi wa ulichokisema basi utoe. mfano mimi ninaweza kukusema kuwa wewe ni muongo, na utakaponiomba ushahidi wa statement yangu itabidi nieleze kwa ushahidi, ivi Dr slaa humuamini? siku zile alivomtaja yule mkuu wa mkoa kuwa amefariki dunia hukuamini? na je ilikuwa sahihi? usipende kuamini kila unalolisikia,ukisikia jambo kabla ya kulishabikia lifanyie uchunguzi wewe mwenyewe kwanza.ukishabikia uongo ujue unapata dhambi kwa Mungu
 
Nimemuona sasa hivi ITV anasema anawapa siku 7 wanaomtuhumu kuwa ana mali zaidi, watoe ushahidi, au sio atawafungulia mashtaka.

Huyu mtoto mbona anatumia maneno yale yale yaliyotumiwa na mafisadi siku za nyuma!

Ikumbukwe baada ya ile List of Shame, wengi walijitokeza na kutoa maonyo kama ya Riz1 wakitishia kumpeleka Dr. Slaa mahakamani lakini hakuna aliyetia mguu mahakamani! Mbaya zaidi, imekujadhihirika kuwa wote waliotajwa wanazo kashfa kubwa za kifisadi....!

Huyu Mwanasheria wetu vipi? unataka ushahidi uletwe ITV na Chanell 10? Kama unataka ushahidi huitaji kuwapa siku 7 bali ni kuwavuta Kisutu na hapo ndipo nondo zote zinawekwa hadharani.

Je utadanganya ukiwa umekula kiapo?
 
Mnamshambulia kwa kuwa ni mtoto wa kiislamu? mbona watoto wa mkapa hamkuwajadili?

Ila huyu dogo amekuwa na kiburi sana tangu wawe wanaishi magogoni , sasa wacha afunzwe adabu na walimwengu, siku hizi hata salamu kwa sisi wazee wake hakuna.

Nasikia anamiliki kajumba kamoja Mikocheni , sasa kama anasema ana kagari kamoja , labda hata kale alikohongwa ama kupewa na Imma wakati ule amekauza ama kakapeleka wapi? Rizi unajua mimi nawe tunafahamiana siku nyingi tangu enzi zetu za kuishi sinza Lion pale so ,tangu uanze kuniletea zarau sipo upande wako .
 
KOBIL??na DAVIDs MOSHA yule aliyekua yanga ndiye mpambe wake wa karibu sana,anamiliki malori ya mafuta na eneo pale kibaha palijazwa sana picha za jk wakati wa kampeni!asitudanganye ataumbuka
 
It seems like Sangara una data za jamaa wewe!!! Au best Friend au ndio Ridhiwani mwenyewe, manake mimi mlalahoi nimesikia siku nyingi from my Friend huko Serengeti kuwa ana bonge moja la hotel, tena limejengwa kiajabu sana kwani liko Mbugani lakini miti haikukatwa na wanyama wanaendelea kuvinjari huku watalii nao wakiendelea kuvinjari. Nasikia staff wake wanalipwa dau kubwa na wanachukuliwa na kurudishwa na magari ya kitalii. Kama kuna ambaye ana data kuhusu tetesi hizi basi atujuze. Ingawaje ni kweli watu wanayajua mengi shida ni hizo evidence. Really kabisa jamaa aliyeniambia ni Mhasibu alikuwa akitamani kuacha kazi kwenye Halmashauri ili akatafute kazi huko.

we dada ivi ukisikia mme wako anatembea nje ya ndoa unaamini moja kwa moja au unafanya upelelezi kwanza. kilichoombwa ni ushahidi wa hizo tuhuma. kama unazodata zitoe, usipende kuamini kila unalolisikia hususani kwa wanasiasa. ivi kwamfano ukisikia mtu anasema "nilisha sikia long time kuwa yule rafiki yako analiwa tigo" nini utakachoomba ili kuthibitisha hilo? tafakari na muogope Mungu katika kumtuhumu mtu jambo ambalo huna uhakika nalo.
 
Kama alivyojipa mwenyewe wiki moja ingawa kwa wale wanaojua hesabu atakuwa katumia wiki takribani tatu kuujulisha umma mali anazomiliki toka Dr alipodai kuhiji utajili wake. Let keep on waiting
 
we dada ivi ukisikia mme wako anatembea nje ya ndoa unaamini moja kwa moja au unafanya upelelezi kwanza. kilichoombwa ni ushahidi wa hizo tuhuma. kama unazodata zitoe, usipende kuamini kila unalolisikia hususani kwa wanasiasa. ivi kwamfano ukisikia mtu anasema "nilisha sikia long time kuwa yule rafiki yako analiwa tigo" nini utakachoomba ili kuthibitisha hilo? tafakari na muogope Mungu katika kumtuhumu mtu jambo ambalo huna uhakika nalo.
kaka sijui unatetea nini hapo, au wewe ndio Riz, wewe hufikiri jamaa kapataje hivyo vijisenti, Mafuta sasa lita moja ni zaidi ya sh 2000. Unategemea EWURA watapunguza bei wakati mtoto wa dingi anahusika na biashara hiyo, Tafakari.......
:israel:
 
Inasemekana "familia" ya Mkulu huenda inamiliki au ina hisa nyingi tu Malaika 5 star Hotel-Rock City!
 
Hapana,si mapema.....Angechelewa tungesema kachelewa kujibu,mi nadhani kajitokeza kwa wakati muafaka.....Tusubiri hiyo wiki moja

Balantanda;

Hivi kweli kwa Malafyale kutangaza mali anazomiliki kihalali inachukua wiki moja?Kuna ugumu gani kuwaita wana habari na kuwaambia kuwa nina mali kadhaa;ambapo likely ndani ya dakika 10 utakuwa umemaliza kuzitaja!

Nionavyo mimi,kuna kitu anataka kubadili Ridhiwan kabla hajatangaza mali zake kwani haiwezi chukua hata siku 1 kutangaza mali zako halali ukituhumiwa!
 
Jamani mie nimemwona ITV saa mbili usiku. Nimemuangalia kwa makini hasa body language... hakika dogo anamiliki pesa kibao. Yaani ata kujitetea kwa waandishi imekuwa kazi na inaonekana hakujipanga sawa sawa. Jamaa ana mchechecho wa wazi wazi wazi sasa tusuburi Dr. aweke ushaidi MEZANI kwani life cycle itakamilika next week J4. Kama angekuwa Makwaia wa Kuhenga angesema RUDIA PATAMU HAPOOOOOOOOOOO.
 
JK na tabia ya kukaa kimya kila yeye au familia yake inaposhutumiwa inafanya wananchi kuamini kuwa hizo shutuma ni za kweli.

Je tuite huo ni ujasiri,kutojali,kiburi wa JK? Au tuite ni nidhamu ya uwoga ya viongozi na wananchi?

Maana kama Obama ambaye hapa juzi kashutumiwa kuwa si mwananchi kaamua mbele ya TV kuthibitisha vinginevyo...sasa inakuwaje haya makombora antupiwa rais wetu ye akaa Kimya....ni inaasharia nini?
 
Back
Top Bottom