Utajiri ni suala la back up power nyuma yako

mimiamadiwenani

JF-Expert Member
Mar 9, 2022
5,411
7,016
Elon Musk ana back up, Bill ana back up, Mark na wengine wote uwajuao wewe.

Back up power ni ROHO, na back up person ni mtu. Mtu huyo ndiyo wengi tunamuita destiny helper etc. ROHO hutumia miili ya wanadamu ili kujibu haja za watu wao wawaombazo.

Lazima uwe na roho ovu au roho ya NURU kama back up. Ukienda peke yako peke yako HUWEZI kutoboa. Na ukitoboa wenye back up ovu watakinyang'anya hicho ulicho nacho kwa kuwa hakina ulinzi.

Kila ROHO inapambana kutafuta utajiri na kuupeleka kwa wale wanaoziomba hizo roho, hivyo kuwarahisishia kazi na kufanya wasitumie nguvu nyingi zaidi, kwa masharti nafuu yanayotekelezeka.

Mungu anakupa UTAJIRi kupitia WATU, shetani anakupa UTAJIRI kupitia WATU.

Mtu utakayekutana naye maishani atakayekuvusha na kukupa connection ya pesa nyingi, basi jua kuna malaika alitumwa na ROHO uliyoiomba kum drive mtu huyo ili akupe hitaji lako. Hii ni elimu ya kiroho.

Kama huna back up basi anza sasa kuisaka na kujinyenyekeza mbele ya back up hiyo. Otherwise utaendelea kusindikiza wenzio.
 
Back up power ni ROHO, na back up person ni mtu. Mtu huyi ndiyo wengi tunamuita destiny helper etc.

Lazima uwe na roho ovu au roho ya NURU kama back up. Ukienda peke yako peke yako HUWEZI kutoboa. Na ukitoboa wenye back up ovu watakinyang'anya hicho ulicho nacho kwa kuwa hakina ulinzi.

Kila ROHO inapambana kutafuta utajiri na kuupeleka kwa wale wanaoziomba hizo roho, hivyo kuwarahisishia kazi na kufanya wasitumie nguvu nyingi zaidi, kwa masharti nafuu yanayotekelezeka.

Mungu anakupa UTAJIRi kupitia WATU, shetani anakupa UTAJIRI kupitia WATU.

Mtu utakayekutana naye maishani atakayekuvusha na kukupa connectio ya pesa nyingi, basi jua kuna malaika alitumwa na ROHO uliyoiomba kum drive mtu huyo ili akupe hitaji lako. Hii ni elimu ya kiroho.

Kama huna back up basi anza sasa kuisaka na kujinyenyekeza mbele ya back up hiyo. Otherwise utaendelea kusindikiza wenzio.
Wewe ni chizi, fala na mbumbumbu. Uliekemeshwa maneno ya vijiweni
 
Baba yake Elon alikua electrical engineer, na alikua na hisa za migodi Zambia

Baba yake Bill alikua mwanasheria mkubwa, hela nje nje, bill alipelekwa kwenye moja kati ya shule za kwanza kufundisha masomo ya computer.

Hakuna cha Mungu wala shetani mzee, ni bahati yako tu.... tatizo wabongo wavivu kufikiria kila kitu mnaona ni ushirikina na nguvu za Mungu, maisha hayako hivyo
 
Ndiyo mtazamo wako kuwa hakuna cha Mungu wala shetani? Ok! Ila uzi huu kuuelewa ni lazima uamini uwepo wa nguvu zisizoonekana. Si unaamini holy scriptures.
 
Elon Musk ana back up, Bill ana back up, Mark na wengine wote uwajuao wewe.

Back up power ni ROHO, na back up person ni mtu. Mtu huyo ndiyo wengi tunamuita destiny helper etc. ROHO hutumia miili ya wanadamu ili kujibu haja za watu wao wawaombazo.

Lazima uwe na roho ovu au roho ya NURU kama back up. Ukienda peke yako peke yako HUWEZI kutoboa. Na ukitoboa wenye back up ovu watakinyang'anya hicho ulicho nacho kwa kuwa hakina ulinzi.

Kila ROHO inapambana kutafuta utajiri na kuupeleka kwa wale wanaoziomba hizo roho, hivyo kuwarahisishia kazi na kufanya wasitumie nguvu nyingi zaidi, kwa masharti nafuu yanayotekelezeka.

Mungu anakupa UTAJIRi kupitia WATU, shetani anakupa UTAJIRI kupitia WATU.

Mtu utakayekutana naye maishani atakayekuvusha na kukupa connection ya pesa nyingi, basi jua kuna malaika alitumwa na ROHO uliyoiomba kum drive mtu huyo ili akupe hitaji lako. Hii ni elimu ya kiroho.

Kama huna back up basi anza sasa kuisaka na kujinyenyekeza mbele ya back up hiyo. Otherwise utaendelea kusindikiza wenzio.
Yesu alijaribiwa kupewa back up.
Je sisi tukijaribiwa tutakataa. back up ina masharti. kuabudu na kusujudia back up wako

Mathayo 4:9 NEN​

kisha akamwambia, “Nitakupa hivi vyote kama ukinisujudia na kuniabudu.”
 
Sasa mimi naionaje ilhali ni binadamu na nina macho ya nyama? Unaamini kwenye nguvu zisizoonekana? Holy scriptures je?
Wewe si ndo umenijibu hapo kwamba hizo back up haionekani kwa Macho ya nyama, nkakuuliza Wew mwenye macho mengne tofaut na haya yetu ya nyama basi utupe elimu mpya hiyo ya Macho mengne yanayotumika kuona ambayo sis wengne hatuna, naona tena Unaruka swali.

Na pili, Nguvu zisizoonekana wew umewezaje kuziona ? Umeziona kutumia nini
 
Back
Top Bottom