Utaje ni wimbo kutoka kwa members wa JF ambao unafunga mwaka 2022 -2023

dvj nasmiletz

JF-Expert Member
Jul 23, 2018
2,020
2,158
Ni wimbo gani unahisi unafunga mwaka 2022 vizuri..

Majukwaa yote

Matusi au kejeri au dhihaka haziruhusiwi

twendeeeeeee ENTERTAINMENT


mshindi ni comment ya mwisho au itakayokuwa na maombi mengi zaidi yatayotakayopatikana au itakayogota saa 00.00(saa 6 kamili usiku) tar 01 /01/2023

zawadi ni Tsh 10000
Wadhamini wengine mnakaribishwa
 
Back
Top Bottom