Utafiti

kanewi

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
298
199
Utafiti unaonyesha kuwa panya buku ndie kiumbe kinacho furaia tendo la kujamiiana kuliko viumbe vyote duniani,,

Panya buku dume hutafuta maficho ambayo hakuna kelele wala vurugu ya aina yoyote ile,maandalizi huchukua mpaka wiki kukusanya chakula na kukiifadhi sehemu hiyo ya faragha ambacho hutumika kama chakula kwa mda wa si chini ya wiki wakati wa kujamiiana,,,panya buku dume hufanya maandalizi haya bila ya kujua atakuwa na panya buku jike yupi, ila amalizapo maandalizi tu huanza kutafuta jike kwa kuwatamanisha vyakula vya wiki nzima alivyo viifazi kwa ishara ya kuusimamisha uume wake, ifikiapo siku ya kuchagua panya buku jike yupi,ugomvi hutokea baina ya panya buku jike mpaka mwenye ubavu apatikane na kutokomea na panya buku dume kusikojulikana.

@ Newika
 
Back
Top Bottom