Husninyo
JF-Expert Member
- Oct 24, 2010
- 23,723
- 9,193
Yaani wewe kwa saa za huku kwetu bongo za usiku wa manane upo macho na saa za huko pia. Jamani watu mnatakiwa muwe mnalala ili mkuwe.
hahahahaha! Mwenzio nalinda sungusungu nitalalaje jamani!
Yaani wewe kwa saa za huku kwetu bongo za usiku wa manane upo macho na saa za huko pia. Jamani watu mnatakiwa muwe mnalala ili mkuwe.
Huu utafiti ulifanywa kwa kufuata mfuatano wa vizazi? (Generations)
Isijekuwa utafiti wa mwanzo ulifaywa kwa wamasai halafu uliofuatia ukaenda kufanywa kwa Wangoni, hapo lazima wataona tofauti...
Kwa uzoefu wangu ni kuwa tunaongezeka urefu, hebu jiangalie urefu wako halafu jilinganishe na wazazi au mababu na mabibi zako kisha uone kama umewazidi, ina maana unaongezeka, kama wamekuzidi basi urefu umepungua.. Kisha tuje na tathmini zetu na sisi tena kwa kuzingatia vizazi vilivyotutangulia...
Kwa mfano mimi nimemzidi Urefu mzazi wangu (baba), naye amemzidi urefu mzazi wake (babu)...
Dada yangu amemzidi urefu mzazi wangu (mama), mama amelingana urefu na mzazi wake (bibi)...
Sijashawishika kukubaliana na huu utafiti...

hahahahaha! Mwenzio nalinda sungusungu nitalalaje jamani!

Mh leo nimejaribu kujiunga sungusungu ili nibonnyeze keyboard usiku mzima lakini nimechemsha. Nyie lindo lenu huwa mnakuwa na kahawa? I wish nijiunge huko!
watakimbili maabara kwenda kutengeneza madawaWachina watakuwa wameshainyaka hii. Subirini.

Mbona nakuona na wewe unalinda! Au upo kwa maalbino, sisi tukilala wao wanaamka.
umeona eeh! Najiuliza kama wanawake wa china wameanza kurefuka.
Hao ni andunjez by nature. ukienda kwao unaonekana giant. Naona Thabeet akienda kule watazimia
. Nawe uko kwa Jaruo anayeongoza watu wanaomnunia?

yap. Ila mi simnunii, kumnunia ni kujinyima furaha wakati mwenzio hana hofu. Lol.

salimia onyango, sie tunapambana na hawa maalbino ambao wao rangi zetu hawaamini km zinastahili kuishi. Ila kumbuka ulinzi shirikishi ni muhim sn.
Hii ya urefu, labda kuna haja ya kujitahidi kuchanganya species ili nasi tuwe warefu
Tayari Wachina wapo pale Sinza wanaongeza urefu!
Kwanza ni vigumu saana kucritise research ya watu juu juu bila kusoma content na sampling. Mfano, mtu akija Tanzania, kuna jamii ya watu kama wasukuma ni warefu saana lakini jamii nyingine ni kawaida na wengine ni wafupi km wabena hata wakinga. Kwahiyo tungesoma na kujua alifanyaje kwenye sampling yake hata kwa Tanzania huenda ingetusaidia.
Lakini pia ni lazima tufaham, lishe ni muhim saana katika ukuaji. Unaweza ukaangalia mtoto anayeishi Ulaya wa miaka 14 na yule wa Africa hata wakiwa race moja, utaona wa kule anaonekana mkubwa kwa maana ya Urefu. Kwahiyi pia chakula kina sehemu yake na kwa tafisri nyepesi ni kwamba tumezidi kuwa masikini zaidi kuliko miaka ya nyuma.