UTAFITI: Wadada wanaotafuta mahusiano/ndoa JF wengi graduates

NADHANI,LABDA,HUENDA,INAWEZEKANA NDIO WENYE UWEZO MKUBWA WA KUTUMIA SMART PHONE HALAFU SI UNAJUA KUWA WALINUNUA SMART LILE BOOM LA KWANZA, KWA HIYO WANA MAUJANJA YA KUTUMIA SMART KITAMBOOOOOO!!!!????
 
Haha itakua ndo zile za baba kasema nsiingie kune mapenzi hadi nimalize shule.....
 
Ni kwa sababu after grafuating maisha mtaani yanakuwa magumu, kwa hiyo only option ni kutafute wanaume wenye pesa so wanaamua kutafutia hapa,na hapa pia watamtafta wengi kwa hiyo anawachuja mwenyewe kupata ile type anayoihitaji..... Yaani wanacheza bonge moja la akili.
 
Makubwa
Tafiti ya kuamini kinachoandikwa na mtu usiemjua wala kujua kama taarifa alizoandika zina ukweli kwa % ngapi
Uongo ukiandikwa na watu wengi.. Kuna kaukweli ndani yake...
 
Ninavyowafahamu Degree & masters Graduates hawaoleki kirahisi, hata wale wanaowaoa hufikiria zaidi hata ya miaka kadhaa, ndipo baadae huamua kuwaoa tena kwa uangalifu mkubwa. Hatahivyo wanawake wote hutaka hela ila tatizo la graduates wengi ni majike dume WANAPENDA USAWA NA SIO HAKI yaani hawajui kuwa HAKI HUINUA FAMILIA NA TAIFA LAKINI USAWA HUBOMOA FAMILIA NYINGI.
 
Back
Top Bottom