Good Father
JF-Expert Member
- Feb 28, 2014
- 10,276
- 18,350
Habari zenu wana JF,
Kuna jambo nimeli observe kwa muda hapa JamiiForums nimeona wadada (zaidi ya 75%) wanaotafuta wachumba wa kiume, wadada hawa ni graduates kwanini hili lijajitokeza?
Kwamba graduates ndo hawaolewi mtaani au tatizo nini?
Kwanini wadada wa form 4 siwaoni wengi humu wakitafuta wachumba?, au form 6 au diploma?
Kwanini namba kubwa ni graduates?
Usiniulize kuhusu wanaume utafiti wangu haukujikita huko, nikiona inabidi nitafuatilia.
Nadhani kuna watu wanajua baadhi ya sababu kuhusiana na hili.
Tupeni majibu