Utafiti Synovate: Dk Slaa ang’ara urais

Mimi siwakubali hawa jamaa. Kwa nini hawakuuliza kwamba Ni kweli 'JK ni legelege kama wanavyosema watu'?
 
Why today?

The current Government has depicted to us that it has failed period hakuna jinsi si ndio wanajisafishia njia kwakuwa jamaaa anaende zake.

My Take:
synovate mwajipendekeza kwa Pinda
Pinda wamemuweka hapo wa nini? Magufuli sawa tutakuwaelewa na CCM wengi wanajua huyo ndie mkombozi wao jamaa yupo kikazi zaidi
 
Mimi siwakubali hawa jamaa. Kwa nini hawakuuliza kwamba Ni kweli 'JK ni legelege kama wanavyosema watu'?

Sio legelege au kigeugeu wange uliza imani ya watanzania kwa sasa kwa JK ni %? muone kama JK atapata hata 20% yeye mwenyewe ajipime aone, wananchi wamechoka kabisa vyombo vya habari vikusanye maoni live huko mikoani wasikie kama kuna mtu anataka kuisikia serikali iliyopo na mauzo yake duuuuh wanamtandao jamani hamkujua siku 40 zitatimia, IKULU milipalilia sana matokeo yake mnatamani kupatapika kabla ya ungwe kuisha
 
synovette wahuni wahuni

synovette wahuni wahuni

synovette wahuni wahuni

synovette wahuni wahuni


synovette wahuni wahuni na mafisadi, tena washenzi

synovette wahuni wahuni na mafisadi, tena washenzi

synovette wahuni wahunina mafisadi, tena washenzi

synovette wahuni wahuni na mafisadi, tena washenzi

synovette wahuni wahuni na mafisadi, tena washenzi

synovette wahuni wahunina mafisadi, tena washenzi
 
Tatizo la ufisadi nchini lilichukua nafasi ya tatu kwa kupata asilimia 36, ukosefu wa ajira (31), tatizo la nyumba, barabara na umeme (27), elimu (23), afya (21), maji (16), uharibifu wa mazingira (12), taasisi za siasa (10), haki za binadamu, uhalifu (6) ubeberu na usafirishaji wa dawa za kulevya (3).


KWA HESABU YA KAWAIDA 36+31+27+23+21+16+12+10+6+3= 185% .
 
jamaa wameanza kujipendekeza kwa wananchi baada ya kuona hawana tena umaarufu kwa kuwabeba magamba.
 
Ama kweli Miafrika Ndivyo Tulivyo..

Huu ni uthibitisho mkubwa wa ule msemo wangu wa - WATU na MAZINGIRA...
Ukisoma utafiti huu kwa makini utagundua kwamba walioulizwa maswali haya kwa asilimia kubwa ni WADANGANYIKA kwa asili ambao kusema kweli we luck exposure, elimu dunia haipandi isipokuwa ya nukuu za vitabu = low IQ. Mtanisamehee wakubwa zangu lakini ndio ukweli ingawaje unauma sana..

Ni majibu ambayo utayategemea toka watu maskini, wenye elimu ndogo na hawajawahi kuona bora zaidi ya vile walivyonavyo na hivyo maamuzi yao kutokana na walichonacho mkononi. Na hakika Synovate wameuliza maswali ya kijinga kulingana na wajinga wenyewe, hivyo hata kama upo ukweli wa Pinda kufagiliwa, lakini bado ukweli utabakia kwamba leo hii ktk umaarufu, sidhani kama kuna mtu maarufu kwa wanaCCM zaidi ya Pinda (mtoto wa Mkulima) akifuatiwa na Nnauye.

Mtawalaumu sana Synovate kwa sababu aidha nyie sii ktk kundi hili (CCM) au kutokana na mazingira mliyopo, lakini ukweli utabakia kwamba Watanzania wengi waishio Tanzania ndio wametoa majibu haya na Synovate kazi yao wamekusanya na wametuletea.

Na muhimu zaidi mkumbuke tu kwamba Wadanganyika wanategemea sana kutokea kwa NABII.. Na mtu yeyote ambaye anaonekana kuwajali wananchi, awe na dalili za unabii kwa lugha ya U saint na kuwapaka mafuta, kuonyesha ni mwenzao mwenye kubeba machungu na ku feel uzito wa msalaba basi huyo ndiye - CHAGUO LA MUNGU..JK was na sintaona ajabu Pinda kuchukua nafasi hiyo maadam CCM wapo ktk maandalizi ya mwaka 2015.

Ikumbukwe tu kwamba sisi Wadanganyika tunaamini Mungu ndiye Mpaji wa kila kitu halli wenzetu wanasema - If Life gives you a Lemon, make a lemonade.
 
Wanajikosha ikifika uchaguzi watasema mgombea wa ccm anaongoza
To me mumushajipotezea heshima ya kuwa indepent research company hamna tofauti na redet
 
Dr.Slaa ni kidume tangu uchaguzi wa 2010, hawa wasanii wasibabaishe kwani wanatumiwa tu.Eti Zitto anamshi Lissu na Mbowe unafiki tu huo na hawatafanikiwa kwa uchonganishi wao kwa Chadema.
 
Dr.Slaa ni kidume tangu uchaguzi wa 2010, hawa wasanii wasibabaishe kwani wanatumiwa tu.Eti Zitto anamshi Lissu na Mbowe unafiki tu huo na hawatafanikiwa kwa uchonganishi wao kwa Chadema.
 
Leo hii watu humu wanafurahia matokeo ya Synovate lakini mwaka jana waliwashutumu. Very short memories...
 
K@#%nina zao. Hawa si ndio waliochakachua maoni kabla ya uchaguzi kumpendelea Kikwete?

Siwezi amini Jasusi unatumiaga maneno haya, ila kweli hawa jamaa waliniboa sana wakati wa uchaguzi
 
Pinda alikwishasema yeye siasa basi 2015.....................kumweka kwenye orodha ni kupoteza muda..................................kura za wanachama ndani ya ccm hazina maana zaidi ya kupata mgombea wake tu.........................ingelikuwa vizuri tukajua kinara wa ccm akipambanishwa na Dr. Slaa pekee yake mambo yatakuwaje.........................hili litatoa mwelekeo mzuri zaidi.........kwa maana ya upinzani best vs. ccm best........what will happen......................................kwa upinzani kuzoa 67% tells a lot about the rot of ccm under the indolent JK...............
 
Hata hivyo, asilimia 78 walisema wanataka yawepo mabadiliko ya katiba nchini wakati asilimia 21 hawaoni umuhimu wake.

wanaopinga katiba mpya wako ndani ya ccm yapaswa wajitafakari upya
 
Ili CCM waendelee kutesa mwaka 2015 yabidi watuburuze kichinjioni na katiba hii ambayo NISS na NEC watendelea kutuchagulia wabunge na Raisi................na hapo damu itamwagika na kuanzia hapo viongozi watajifunza kushika adabu yao na kuheshimu wapigakura.........
 
Kama siyo TISS nA NEC ningelisema Dr. SLaa (42%) + Kabwe (9%) = CHadema (51%)...................mchezo umekatikia hapo...........
 
Nathamini sana uchambuzi wao lakini wana uhakika? Ngoja nipate kijitabu chao cha utafiti wao kisha nita comment.

Lakini nilikuwa nataka kutoa angalizo hususan katika utafiti wao walipaswa wajue suala la Udini huko tanganyika limeshika kasi kubwa sana, sasa lazima walitakiwa waliangalie hilo.

Ok all in all ngoja nipitie kisha nitarudi
 
Kuna mijitu inadhani yenyewe ina kura laki moja, hovyo kabisa ndio maana machama yao yanashindwaga kila siku kwa arrogance ya wafuasi wao.
Watching you closely!
Angalia kauli zako!...Usitafute chanzo cha mkia, utashika mbolea!
 
Back
Top Bottom