Utafiti kuhusu dawa ya babu wa loliondo

La mgambo likilia ... .... ... nyie endeleeni na utafiti wenu lakini Babu anaingiza mpunga radhina tena kilaini mnamfuata wenyewe. Pigeni kelele lakini mzee hana shida na hizo research zenu ambazo zinawamaliza wenyewe.

Wenzenu wa Kenya tayari wanajiandaa kwa kujenga barabara nzuri ili waweze kumfikia Babu kiurahisi nyie bado mmezubaa, pangeni mkakati watu wanaotaka kumwona Babu lazima waje kupitia KIA.
 
Hujasikia waziri wa afya wa Kenya anataka Mhungaji akamatwe na afungwe! Eti watu wao hawapitii kwa boda wakati pale Namanga kuna booking office ya Loliondo!
 
You can't prove Babu's herb scientifically by studying the strength of its ingredients or elements Vs enzymes and antigens! Dawa ya Babu is a MIRACLE dose fro "God". The only way you can prove is to take the former patient to intensive medical examination if s/he is total healed or not!

Vinginevyo nanyi nendeni mkapate kikombe mkasimulie kwa wapenzi wenu kama nguvu zimerudi kama simba. Mwacheni Babu ajipatie maujiko na msimpandilie mgongoni kujitafutia umaarufu. Kwanini wagojwa wawakimbie mahospitalini waende kwa babu kama kila ugonjwa hospitali unapona.

Pamoja na dawa za malaria za wazungu zipo za kutosha mbona ndo gonjwa linalo ongoza kwa kuuwa watu Bongo?
 
Back
Top Bottom