Utabiri wangu kwa mwaka 2012

naongezea
1.jk kuondolewa ikulu kama alivyotoka mbeki wa s/afrika
2.uchaguzi mdogo igunga kufanyika
 
20. CCM kuahirisha chaguzi zake za ndani hadi 2014 baada ya kushtushwa na Lowassa kuchukua form ya uenyekiti
21. Samweli Sita avuliwa aachwa baada ya rais kufanya mabadiliko ya baraza la mawaziri ambapo Ngeleja na Mwakyembe ni waanga
pia.
22. Nape Nnauye ashinda uchaguzi wa udiwani baada ya diwani wa awali kupitia CCM kusombwa na mafuriko na kuacha jimbo wazi
23. David Cameroon kuitembelea Tanzania na kusisitiza kuwa misaada itazidi kumwagika
 
mwisho wa yote ni mtatiro kuwa mtume mpya ccm b baada ya prof lipumbavu oooh sorry ,lipumba.
 
Ufuatao ni utabiri wangu kwa mwaka 2012
mwaka 2012 is around the corner, tunataraji kuona mengi na baadhi yake ni haya
1. David kafulila kurudi CHADEMA na kulichukua tena jimbo la kigoma kusini
2. maisha ya watanzania kuendelea kuwa magumu zaidi na thamani ya shilling kuendelea kuanguka
3.Mbunge feki wa shinyanga mjini kutolewa ubunge kama si kwa njia ya kimahakama ni kwa njia ya maandamano makubwa ambayo mimi na wenzangu wachache tutayaongoza
4.Nguvu ya CHADEMA kuongezeka maradufu na safari hii dr wa ukweli kuanza kushiriki matukio yote ya kitaifa
5.Minyukano ndani ya chama cha mapinduzi kuendelea na safari hii makada wakubwa wa chama hicho kupigwa mieleka kwenye chaguzi za ndani ya chama
6.Chaguzi ndogo 3 kushuhudiwa na zote peoplez power ikichukuwa hayo majimbo
7. NCCR mageuzi kufa rasmi
8.CUF au maarufu kama CCMb kusambaratika hasa baada ya maalim seif kushindwa na Hamad rashid nafasi ya ukatibu mkuu
9.Wanasiasa vijana wakiongozwa na Zitto kabwe, Godbless Lema ,Regia mtema,
Lusinde , Kafulila kuendelea kuisumbua serikali dhalimu ya cCM ndani na nje ya bunge
10.Jimbo la uchaguzi la Bunda kuwa wazi kutokana na uzee
11. Dar young African kutwaaq ubingwa wa africa

NB: huo ni utabiri wangu jamani naomba maoni yenu

huyo bolded ni wa chama gani??
 
3. Mbunge wa Shinyanga mjini kupitia Magamba Ndugu Steiven masele ambaye hakushinda na akatangazwa mshindi kesi yake itaendelea tena trh 8 feb mahakama kuu tabora kama mahakama ikiamua kuchakachua kama ilivyofanya kwenye jimbo la Mwibara, nguvu ya umma itatumika, kuna kifungu cha sheria ndani ya hii katiba mbovu ya jamhuri ya muungano wa Tanzania, tutatembeza petition na kama robo tatu ya wapiga kura wa jimbo wakisema hawamtaki kwa kusain hiyo petition kwa majina na namba zao za shahada za kupigia kura tunamng'oa kiulaini na hili zoezi litafanyika very soon baada ya hukumu ya mahkama, kama watachakachua, otherwise kila kitu kipo shwari tuna ushahidi wa vituo vyote vilivypogia kura na karatasi zake original na matokeo halisi na tulishinda kwa kura nyingi tu, sasa yeye masele na stupid mkurugenzi watuambie walizipata wapi hizo kura walizojitangazia
Nadhani nimeeleweka
 
Back
Top Bottom