Utabiri wa leo: Simba 0 - 6 Al ahly

Labani og

JF-Expert Member
Sep 15, 2020
15,777
24,211
Nadhani Leo hakuna doubt kuwa Al ahly wako home ground so ule uchawi wa makolo uliozuia magoli 5 ya Al ahly haupo kama mnavyojua uchawi haupandi ndege za mzungu

Hivyo basi Kwa uchambuzi niliofanya naona kabisa kolo anaenda kula mvua ya magoli 6+. Nini kifanyike??

Kwakweli hapa hamna njia yeyote ya kuescape kikombe hiki.....hata mkipaki basi ....haita badilika kikubwa tujiandae kisaikolojia

1698134043989.jpg
 
Nadhani Leo hakuna doubt kuwa Al ahly wako home ground so ule uchawi wa makolo uliozuia magoli 5 ya Al ahly haupo ......kama mnavyojua uchawi haupandi ndege za mzungu

View attachment 2791156
Utakufa na kuteswa na roho mbaya!! utabiri wako wa roho mbaya dhidi ya simba huwa haufanikiwi!! mwisho wa siku ni kutelekeza na kuukimbia uzi wako mwernyewe! ulitabiri simba kufungwa na coastal union, ukatabiri simba kufungwa na Al Ahly hapo kwa Mkapa, mwisho wa siku ukala kona!! Pole sana!! Endeleza tu kulio cha ngwena!! ngwena!! ngwena!! ngwena!!
 
Akiba ya maneno ni muhimu sana

Aahàaaa
 
Utakufa na kuteswa na roho mbaya!! utabiri wako wa roho mbaya dhidi ya simba huwa haufanikiwi!! mwisho wa siku ni kutelekeza na kuukimbia uzi wako mwernyewe! ulitabiri simba kufungwa na coastal union, ukatabiri simba kufungwa na Al Ahly hapo kwa Mkapa, mwisho wa siku ukala kona!! Pole sana!! Endeleza tu kulio cha ngwena!! ngwena!! ngwena!! ngwena!!
Acha tuone mvua ya goals
 
Nadhani Leo hakuna doubt kuwa Al ahly wako home ground so ule uchawi wa makolo uliozuia magoli 5 ya Al ahly haupo kama mnavyojua uchawi haupandi ndege za mzungu

Hivyo basi Kwa uchambuzi niliofanya naona kabisa kolo anaenda kula mvua ya magoli 6+. Nini kifanyike??

Kwakweli hapa hamna njia yeyote ya kuescape kikombe hiki.....hata mkipaki basi ....haita badilika kikubwa tujiandae kisaikolojia

utabiri poyoyo
 
Sawa mama
 
Back
Top Bottom