Hivi hawa watu wa hali ya hewa walitabiri jua au Mvua.. .. siwaelewi...
jua na mvua
ila kuna mchungaji alitabiri naye pia nimesahau jina lake
labda wanamtumia mnajimu manake vyombo vyao haisemi ukweli
ile rada ya jeshi aka ya CHENGE nayo mtumba sasa wanabuni tu.
wadau tumieni computer zenu angalieni bbc weather au google bora hao kuliko TMA.
Ndugu zetu hawa wanaenda vice versa siku zote full usanii,hawajatabiri mvua yametokea maafa,wakaja mbio na maelezo na kujidai kukumbuka wajibu wao,wamekurupuka ohh kuna mvua kubwa zaidi ya ile ya mwanzo,mambo ndo haya jua kali, kazi kweli