Utabiri wa hali ya Hewa

Wapuuzi kabisa hawa kwa nini hawakusema juzi ili tujiandae kuhama,baada ya kuona imemwagika kwa wingi ndio wanasema itaendelea kwa siku mbili pambafuuuuu!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Hahahah
hawa ni wapga ramli
Wapuuzi kabisa hawa kwa nini hawakusema juzi ili tujiandae kuhama,baada ya kuona imemwagika kwa wingi ndio wanasema itaendelea kwa siku mbili pambafuuuuu!!!!!!!!!!!!!!!!
 
ukifika ofisini kwao wana barometer tu wapo hoi......hawana hata confidence na kazi yao
 
Hapo safari na semina kila kukicha. Nchi ningine mtu ameshajiuzulu hapo, lakini hapa kwetu bora liende.
 
bora leo ni siku ya kwanza inaishilizia maana ikiendelea kidogo tu hakuna ishu yoyote itakayofanywa..
 
Wapuuzi kabisa hawa kwa nini hawakusema juzi ili tujiandae kuhama,baada ya kuona imemwagika kwa wingi ndio wanasema itaendelea kwa siku mbili pambafuuuuu!!!!!!!!!!!!!!!!

walishasema kuhusu mvua kitambo,may b wewe c mtazamaji wa utabiri wa hali ya hewa
 
Wapuuzi kabisa hawa kwa nini hawakusema juzi ili tujiandae kuhama,baada ya kuona imemwagika kwa wingi ndio wanasema itaendelea kwa siku mbili pambafuuuuu!!!!!!!!!!!!!!!!

Mpumbavu kuliko wote ni wewe usiyefuatilia taarifa za habari pamoja na magazeti. Kazi yako kukaa kijiweni kuchungulia wanawake wanaopika vitumbua. Mamlaka ya Hali ya Hewa ilitangaza na kutoa taarifa mapema tangu mwezi wa Tisa kuwa kufikia mwishoni mwa mwaka kutakuwa na mvua kubwa na mafuriko hivyo watu wote wachukue taadhari na wa mabondeni wahame. Ninawapongeza sana kwa Utabiri wao SAHIHI. BIG UP TMA.
 
Back
Top Bottom