Utabiri: UEFA Champions League Final itakuwa Chelsea 0-3 Man City

Mara ya mwisho chelsea kushinda kwa kuanzia goli tatu nafikiri ni kipindi cha Lampard (sina kumbukumbu nzuri hapa) siku hizi ushindi wao mkubwa ni magoli mawili. Ila wao kufungwa ni mpaka goli tano.

Mostly kwakua wanakaba sana kuliko kushambulia na namna yao ya kushambulia ni kufosi kupita pasipopitika hii inasababisha off sides na freekicks za kumwaga.

City naye kwa Newcastle ushindi ulikua wa maswali. Kwa Brighton kafa (red siyo kisingizio). Brighton mpira wao kama chelsea. Na city kucheza strikerless siyo kama anapenda ila Jesus na Kun hawafanyi delivery inayotakiwa hivyo jukumu la kuscore ni la Mahrez.

Naona chelsea ikicheza 3 4 1 2 na 1 akawa Mount halafu 2 akawa Werner na Pulisic au Giroud anashinda kwa urahisi.
Ikicheza 3 4 2 1 na hiyo 1 ndiyo akawa Werner chelsea itafungwa kwakua italazimika itumie nguvu kubwa kutafuta goli na wakifanya hivyo wanampa space Sterling au Mahrez kubenefit na speed.

Kwangu mimi matokeo ya mechi yataamuliwa zaidi na formation ya chelsea.
 
Kwa maelezo yako hii game itakua rahisi sana kwa Kipara Pep.
 
Unasema nini eti? Guardiola hachezeshi namba 9 kwasababu hana?! Guardiola hachezeshi namba 9 kwa sababu ana mfumo wake tofauti anaouamini zaidi, na unampa matokeo, na huo mfumo ndio utakaowahenyesha hiyo siku ya final hamtaamini.

Simuoni Sterling akianza hiyo mechi.

Unamtegemea vipi mchezaji kama Werner kwenye mechi ya CL Final? au Giroud?! you can't be serious, kama leicester kawatoa kamasi kwenye final ya FA kwa Man City nyie muombe Mungu tu aingilie kati.

Man City wata possess watatengeneza more chances than you lazima utegemee counter attacking football, na ukijaribu kupishana na Man City utapigwa 4 au 5.
 
Unasema nini eti? Guardiola hachezeshi namba 9 kwasababu hana?! Guardiola hachezeshi namba 9 kwa sababu ana mfumo wake tofauti anaouamini zaidi, na unampa matokeo, na huo mfumo ndio utakaowahenyesha hiyo siku ya final hamtaamini.

Simuoni Sterling akianza hiyo mechi.

Unamtegemea vipi mchezaji kama Werner kwenye mechi ya CL Final? au Giroud?! you can't be serious, kama leicester kawatoa kamasi kwenye final ya FA kwa Man City nyie muombe Mungu tu aingilie kati.
Hehehehe acha mihemko.

Nimesema. Guardiola anachezesha mfumo bila striker kwakua kwasasa hana striker anayedeliver. Unakuja kuandika vitu nishavielezea.

Werner ana speed. Giroud ni clinical finisher. Leicester kashinda kwavile alikubali kujikunyata kusubiri mashambulizi, City ina moyo huo?

Pia mimi ni shabiki wa Arsenal
 
Back
Top Bottom