Utabiri uchaguzi mkuu 2025

Kama 2026 ni mwaka wa kupatikana na kukamilika KATIBA mpya,

Ni dhahiri 2025 hapatakuwa na uchaguzi wowote wa HAKI Kutoa mshindi.

Ni sawa na kusema Uchaguzi hautofanyika.

Hivyo unaweza kuwa sawa ingawa,

Wa kwanza HATOGOMBEA labda umlazimishe wewe kwenye chama chako kipya.
 
HUU NI UTABIRI
(1) Patafanyika marekebisho madogo ya katiba pamoja na sheria za uchaguzi ambapo,pamoja na mambo mengine, mgombea kiti cha urais atatakiwa apate zaidi ya 50% ya kura ili kutangazwa mshindi.

(2) WAGOMBEA URAIS-:
(1)CCM - Samia Suluhu Hasan
(2)CHADEMA - Tundu Lissu
(3)ACT - Zitto Kabwe.

(3) MATOKEO YA URAIS
(1) Samia suluhu Hasan 48%
(2) Tundu Antipas Lissu 40.5%
(3) Zitto Kabwe 11%
(4) Vyama vingine 0.5%

Kwa matokeo hayo uchaguzi utaingia duru ya pili,ambapo CCM watamshawishi Zitto kabwe awaunge mkono kwa ahadi ya chama chake kupewa nafasi 3 za mawaziri huku Zitto Kabwe akiungwa mkono na CCM kugombea nafasi ya spika wa bunge.

(4)DURU YA PILI YA UCHAGUZI
MATOKEO

(1) Samia suluhu Hassan 53%
(2) Tundu Antipas Lissu 47%

Spika wa Bunge Zitto Kabwe.

MWISHO WA UTABIRI
huu ni Utabiri wa ovyo kabisa kuwahi kutolewa.
 
huu ni Utabiri wa ovyo kabisa kuwahi kutolewa.
Mkuu kwanini umekuwa na mtazamo huo.Labda tu nikuhakikishie binafsi hata Mimi ninayetabiri sifurahishwi na utabiri huu,lakini ni lazima tukubali hali halisi.
 
Kama 2026 ni mwaka wa kupatikana na kukamilika KATIBA mpya,

Ni dhahiri 2025 hapatakuwa na uchaguzi wowote wa HAKI Kutoa mshindi.

Ni sawa na kusema Uchaguzi hautofanyika.

Hivyo unaweza kuwa sawa ingawa,

Wa kwanza HATOGOMBEA labda umlazimishe wewe kwenye chama chako kipya.
Mchakato wa katiba mpya tumetangaziwa na mamlaka kwamba ni baada ya elimu ya miaka mitatu.Kwa vyovyote vile katiba mpya haitarajiwi kabla ya October 2025.Kinachowezekana walau mpaka wakati huo ni minimum reform kwenye sheria za uchaguzi na tume huru ya uchaguzi.Ndiposa nikatabiri kitakachotokea katika mazingira hayo.
 
Mwenendo wa aliyepo, haumpi nafasi kugombea!!
 
huu sio utabiri ni ndoto, ila kasoro tu umeota ukiwa kwenye kidala, ingekua umeota ndoto ya kitandani isingeisha ivo , ingeshia hivi baada ya kushindwa mgombea alieshindwa akimbilia ubalozini tayari kwa safari ya ulaya alipo mwenza wake na wafadhili wake
Haichekeshi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom