- Thread starter
- #21
Una hoja katika baadhi ya maeneo.Tatizo la vyama vya upinzani hawana watu wa mikakati imala, hawana misimamo madhubuti.wala malengo.
Nakumbuka kipindi magufuri anaingia madalakani miji mingi ilipata kushikwa na vyama vya upinzani.wakati wanachakua mameya, ccm waliwabana kwa figisu, wapinzani walipogundua figisu ccm wakasema msiwafanyie figisu waacheni hiyo ni haki yao, vyama upinzani vikafuraahi hawakujua wenzao wamepanga nini.
Mwisho wasiku wanabadilisha mfumo mzima wa TAMISEMI badala ya kua kwa wazili mkuu imerudishwa kwa Rais.
Wamejikuta mameya , madiwani oote wamebaki hawana kazi ya kufanya. Maelekezo ya TAMISEMi yoote yanatoka kwenye utawala. Hiyo ndio ccm. Kuweza kuwadhibiti ccm hadi kizazi fulani kifutike lakini sio kilahisi hivyo.