Utabiri: Baada ya saa 21:00 zitasikika kelele za hutamtaki mangungu

Simba ni chama langu,lakini kwa mpira wa papatu papatu tunaocheza leo kazi tunayo! Wale jamaa tusiwachukulie poa..tusiingie na matokeo mfukoni..
 
Mpaka dakika hii kabla ya saa tatu zinasikika kelele za wewe kupigwa mtungo, packet ya condom ishakata hukoo bado watu wamekushika tako wanakupelkea moto kavu kavu saa hii😂
 
Japo ni Mimi ni mchambuzi mashuhuli hapa mjini JF.....lakini pia ni mtabiri maarufu wa mechi ...since sijawahi kosea

Utabiri wangu

Leo mchana nilikuwa nimejiegesha hapa kazini ghafla nimeota ndoto saa 21: 00 naskia makelele ya watu wanaimba hatumtaki mangungu.....
Hatumtaki mwamedi..... hatumtaki jaribu Tena ....ila nimeshidwa kujua ..... what really happened

Nb: Guess.....itakuwa Nini kimetokea ??

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
JF imevamiwa na watoto wa Facebook
 
Ni sangap sasa na zinasikika kelele gan hapo ulipo.
 
Back
Top Bottom