Usumbufu TRA Tazara.

Hewa mkaa

JF-Expert Member
Sep 3, 2012
742
377
a6abcf6e30a844a8ca281335e6142985.jpg


Mateso ni makubwa. Tunateswa makusudi upande wa kutoa leseni za udereva. Tangu asubuhi ni watu 2 wamepewa leseni tena wanawake. Vishoka nao ni wengi wanaingilia utaratibu. Tafadhali wahusika waziri Mpango tusaidie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom