African American
Senior Member
- Feb 6, 2012
- 165
- 62
Wanachama 1,328 wamekihama CUF kwa maelezo kwamba wamerithiswa na kauli ya Hamad Rashid kwamba chama kinaongozwa Kisultani. Kwaheri See you F.
Source: Nipashe
Source: Nipashe
Mkuu kusoma hujui hata kutazama picha hujui,lahaullah!Nasikitika dua zenu haziwezi fanikiwa! CUF imepitia vipindi vingi vigumu mpaka kufikia hapo ilipo......
CUF itaendelea kuwepo bila msaada ya media za ki-chadema!
hakuna kitu kama hicho tanzania labda south africaHuo usultani wao usivuke bahari. Nasikia ukienda madukani kwao, kama wewe ni mtu mweusi alaf akaja mtu kama Jussa hivi, basi atahudumiwa yeye kwanza kabla ya mtu mweusi.
Wanachama 1,328 wamekihama CUF kwa maelezo kwamba wamerithiswa na kauli ya Hamad Rashid kwamba chama kinaongozwa Kisultani. Kwaheri See you F.
Source: Nipashe
Mimi nafikiri kauli ya maalim Seif iiheshimiwe." Kamati KUU baada kupitia vielelezo vyote imeamua kumfukuza Hamad Rashid. Na tupo tayari kabisa kurudia uchaguzi wawi au hata Hamadi rashid awe mbunge wa mahakama. Lakin CUF hatumtaki tena"
Sasa yote ya nini ndugu waandishi.