Uso wenye mafuta na vitobo

blotter20

Member
Sep 19, 2014
53
14
Habari zenu wana JF nina ndugu yangu ana uso wa namna hiyo msaada maana uso wake una mafuta mengi black spot n vitobo vitobo dawa yake ni nini????
1474532123271.jpg
 
Amuone Specialists wa Ngozi pia atumie vitu vya Asili kama Mafuta Ya Ndimu mimi Nina uso wa Mafuta mengi natumia mafuta ya dimu Tu kujipaka usoni
 
Habari zenu wana JF nina ndugu yangu ana uso wa namna hiyo msaada maana uso wake una mafuta mengi black spot n vitobo vitobo dawa yake ni nini????View attachment 404777
Mimi uso wangu una mafuta pia na nilikuwa na vitobo vikubwa tu! Nimetumia EPLECIDER sijui kama bongo ipo ndani ya miezi mitatu vitobo vimepungua mno yaani vimebaki kwa mbali na vidogo vidogo sana! Natumia pia lotion na Gel ya alovera!
 
Umeinunua wapi????
 
Umeinunua wapi????

Kwa sasa niko Norway niliinunulia huku! Nadhani hata bongo unaweza kupata! Angalia kwenye hizi big supper market lazima itakwepo ! itakuwa imeandikwa APPLE CIDER VINEGAR! kwa maelezo zaidi google "apple cider vinegar + face skin"! Utapata maelezo kibao! Jinsi ya kutumia na faida zake hasa kupunguza facial poles!
 
ukija bongo nikuagize........tatizo huku vitu fake kibao
 
Back
Top Bottom