Uso wake Michael Jackson umeshaoza kabisaa!

lakini you must admit alikuwa star mkubwa enzi zake na weusi wengi tulijivunia about his success. Au umesahau, bana?

Hapana sijasahau. Ni kweli alikuwa nyota mkubwa enzi zake na alikuwa na crossover success na ni Wamarekani wengi (weusi kwa weupe) waliokuwa wakijivunia success yake. Pia ame-influence wasanii wengine wengi tu (weusi kwa weupe).

Mi nakutaka tu uachane na hii dhana ya "sisi weusi" kila wakati na katika kila kitu. Acha kuangalia kila kitu kupitia mwanga wa rangi ya ngozi ya mtu.
 
Point taken! But I remain an Obama fan (not because of his skin color! ) Hahaaa!
 
Hahahahaaa..you need to get over your mancrush with him....

hmmm.. mancrush.... interesting word, I will let it slide.... what about ur mancrush for Rush Limbaugh?

Lakini seriously, Nyani, unaamini kwamba baada ya miaka 20 ya kujichubua Michael Jackson anadai kuwa ana ugonjwa wa vitiligo? Mi siwezi ku-accept hiyo....
 
Lakini seriously, Nyani, unaamini kwamba baada ya miaka 20 ya kujichubua Michael Jackson anadai kuwa ana ugonjwa wa vitiligo? Mi siwezi ku-accept hiyo....

Ni vigumu kukubali lakini kwa wakati huo huo mimi ni nani kumkatalia? Mimi sio tabibu, mimi sio mtaalamu wa magonjwa, na mimi sio yeye. Kwa hiyo nasema...oh well....whatever....you know what I mean?
 
Lakini seriously, Nyani, unaamini kwamba baada ya miaka 20 ya kujichubua Michael Jackson anadai kuwa ana ugonjwa wa vitiligo? Mi siwezi ku-accept hiyo....
Michael sio kwamba kajitangazia mwenyewe karibuni kuwa ana vitiligo; hii ni fact ambayo imekuwepo for a long time, jaribu kuangalia hata kwenye mitandao utagundua hilo ni kweli. Na picha za kwenye media mbalimbali ambazo hazimfagilii zitaonyesha pua imeoza, imedondoka! C'mon, Michael is among the most famous men on earth hakuna kitu watakachotaka kufanya media zaidi ya kutata kitu cha kumfanya aonekana "ngesem" iwe afya yake, iwe kumsingizia kesi etc, lakini wamemshindwa.
Na wala hajaisha bado, nasikia June ama July mwaka huu ana concert ya "that's it" huko UK na bado mamilioni ya ma-fans wake tupo!
Halafu watu ambao mwasema sijui usijaribu kumrekebisha MUNGU sijui na nini; kutengeneza pua, kujichubua ni kutafuta mtu uonekane bomba kama ambavyo waweza kukata style ya nywele, mustachi etc, kama mnataka tuishi kama tulivyozaliwa basi mambo hayo pia tuyaache! Hata ukizaa mtoto miguu imepinda kama upinde uiache hivyo hivyo- la sivyo unajaribu kumkosoa MUNGU ukiinyoosha!

Hapo vipi!
 
mkuu huyo ndio amekwisha maana sasa hivi hali yake imekuwa mbaya sana tena sana maana hana mbele wala nyuma maana alivyofanya au alivyojibadilisha alifurahi sana ila sasa kila kitu kinamtokea puani!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom