USM Alger 2-1 YANGA; Morrison alitakiwa aingie mapema baada ya Aziz Ki kushindwa mchezo

Mwande na Mndewa

JF-Expert Member
Feb 26, 2021
949
2,865
MORRISON ALITAKIWA KUINGIA MAPEMA BAADA YA AZIZ KI KUSHINDWA MCHEZO.

Leo Jioni 18:30hrs 28/05/2023

Mzee wa kuzama katikati ya msitu wa mabeki,Mzee wa kugima kwenye utelezi,akianguka anainuka hadi aone mpira upo kambani,katoa pasi nzuri iliyomkuta Mudathir aliyemtengea Mayele aliyeweka kambani,kazi nzuri ya Bernard Morrisson BM3, the gifted one, King of Football mchezaji mwenye kasi/pace/speed na jitihada ya dhati ambayo Yanga inahitaji wachezaji kama hao wanapokwenda vitani iwe mchangani au matopeni,kwenye jua au mvua,Yanga inahitaji wachezaji wanaojua kucheza kikubwa na kimalengo,Yanga haina wachezaji katili bali ina wachezaji mabishoo,na wanaoanguka hovyo uwanjani hasa wakati wa mvua, sina shaka na Simba ambayo ina wachezaji katili kama Jean Baleke na Moses Phiri,salute kwa Benard Morrison ndio mchezaji katili katili wa Yanga,kwenye kumi na nane ukimkata atainuka na atafunga goli,

Wachezaji wa Yanga wajifunze toka kwa wachezaji katili wa muda wote Afrika uchezaji wa George Weah,Samuel Etoo,Didier Drogba,Abedi Pele, Yaya Toure,Roger Milla,Nwanko Kanu,Mohammed Salah,Michael Essien,Sadio Mane,Okocha, Mahrez, Sammy Kuffor, Geremi, Seydou Keita, Lauren, Aubameyang, Adebayor, Yakubu, Frederic Kanoute, Radebe, Rigobert Song, Mustapha Hadji, Kolo Toure, Mikel Obi, Muntari, El Hadari, Aboutrika, Hossam Hassan, Ezzaki, Ahmed Hassan, Kalusha Bwalya, Diouf, Gyan, Foe, Ikpeba, Amokachi, Mboma, McCarthy, West, Enyeama, Oliseh, Amunike, Majder na N'kono. Ba,Christian Benteke,Roger Milla, Abedi Pele,Sulle Muntali na Samuel Etoo ambao walikuwa mastriker hatari na katili wa kiafrika kwenye kumi na nane ya timu pinzani,hii ndio hali na mori ya ushindi katika mpira wa kisasa unaochezwa duniani hasa tunapoanza na nyimbo yetu ile "Leooh leo ndio leo,Leooh kivumbi na Jasho"

Wachezaji katili wenye ufundi mwingi kama Bernard Morrisson anaweza kuibeba Yanga ambayo inacheza mpira wa pasi ambao inawapasa wachezaji wawe wenye uwezo wa kukimbia uwanjani pindi wawapo na mpira na pale wasipokuwa na mpira, Timu za waarabu hazina mafundi wengi wa soka ila wanajivunia uwezo wao wa kucheza mpira wa kasi,Yanga inacheza mpira wenye ufundi mwingi,inasukuma mpira taratibu kana kwamba wao ndio wanaongoza katika matokeo hata kama bado hawajashinda,wanaridhika sababu ya pira biliani wanalocheza lakini Yanga inahitaji kuwa na washambuliaji katili ambao wataweza kuweka mpira kambani huku wachezaji wengine wakiendelea na ball technic boli fleva huku wachezaji wengine wakicheza tu kimkakati na kasi ya uchezaji inayonufaisha kuweza kuondoka na ushindi. Yanga isiache mchezaji pinzani awazidi mbio na kufanikiwa kwenda kuonana na Kipa Djigue Diara uso kwa uso,Silaha kubwa ni mbio na munkari ya ushindi sio kwenda uwanjani kufanya jog tu .Wachezaji angalau wanampira wa kasi ni Tuisila Kisinda,Mudathir Yahya,Kennedy Musonda kwa upande wa Simba sina shaka ninapomuona Baleke aliyekuja sawa na Musonda akiwa na goli tisa.

Yanga ni "underdog"kwa USM Alger kutokana na mchezo wa leo ambao USM Alger ilionekana ndio mwenyeji kuliko Yanga ambayo ilikuwa inacheza nyumbani ikishangiliwa na washabiki elfu sitini waliojaza uwanja, Yanga haina wachezaji wenye uchu wa kuandika historia Afrika kutokana na uchezaji wao wa kuanguka anguka hovyo kama Aziz Ki, Yanga haina wachezaji wenye uwezo wa kubadilika uwanjani kulingana na mchezo unavyokwenda,Yanga inabidi imsajili Ranga Chivaviro straika hatari mwenye uwezo wa kubadilika uwanjani wa kikosi cha Marumo Gallants ambaye kwenye michuano hiyo ana mabao matano nyuma ya Fiston Mayele wa Yanga,mabeki wengi upata shida wakutanapo na mchezaji huyo mwenye jicho la kuona nafasi za kufunga,ana kasi ya ajabu yenye kuwachanganya mabeki kama hawatakuwa makini na wepesi kutafsiri nini kinafuata pindi mchezaji huyo anapowania mpira.

Yanga ilitakiwa kumaliza leo hapa Benjamin Mkapa, Tanzania,Yanga ilitakiwa kucheza kwa kasi,kitimu,mbinu na akili kubwa kuliko nguvu iliyowafanya waanguke hovyo uwanjani,sikuona mchezaji wa USM Alger akianguka uwanjani maana yake walikuwa wanacheza kwa akili na malengo wakiwa na uchu wa mafanikio na dhamira yao ni kutwaa kombe hilo la Shirikisho barani Afrika,naamini Yanga ni timu kubwa,lazima ijue njia ya kupenya katikati ya msitu ule wa mabeki wagumu wa USM Alger kufunga magoli na kuchukua kombe hilo,unapotaka kumshinda mpinzani wako lazima umkabili kwenye uhalisia wake na siyo vingenevyo, Yanga,Yanga,Yanga hii mechi mmefungwa nyumbani,mmetudhalilisha sana sisi tuliolowa na mvua toka saa mbili asubuhi hadi saa saba mchana tukisubiri kuingia uwanjani,tumelowa mara ya pili baada ya dakika 90 kuonyesha tumefungwa mbili nyumbani,Je ninyi ni mabingwa wa Tanzania msiofurukuta nje ya Tanzania,Je ninyi ni mabingwa wa Tanzania na kombe la Azam ndio mwisho wenu,mnahitaji kutoka nje ya boksi,mnahitaji kuwa mabingwa wa Afrika,Kila la kheri Yanga,Daima tupo pamoja.

Nikiishia hapa, Mimi ni
Msemakweli Chakubanga,
Dar es Salaam.
0755078854.
 
Tatizo la Morrison nidhamu Hana hachelew kuigharimu timu hasa game ikiwa imejaa temper.
 
Timu bora imepoteza mechi, katika hatua ya fainali mara nyingi mbinu ndio zinaamua matokeo ya mchezo.
 
Umeandika kama shabiki wa Simba ambayo haipo, unasifia kitu kisichokuwepo?
 
Kocha kauza game,sub kafanya too late
Million 60 sio mchezo yatatokea kama yale ya Simba 1993
Sponsor aliahidi gari aina ya KiA kwa kila mchezaji walichofanya golikipa na strikers kadhaa wakala mlungula wakaachia magoli
 
Mayele yupo pekee ake hamna msaidizi mbinu za nabi Leo za hovyo Morrison alitakiwa kuanza ili mayele alishwe ila all in all sisi kama wanasimba tunalala na kuamia vizuri Leo.
 
Aucho ametupatia ugumu sana wa fainali zote 2, ila Yanga wajifunze kucheza nnje ya uwanja maana ile kadi ya Aucho haikuwa sahihi kabisa na wangeikatia rufaa angecheza fainali zote 2 na pengo lisingeonekana kabisa.

Tunaendelea kuiombea Yanga FC mema second final maana kwenye mpira lolote linawezekana.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Yanga mpk imefika hapo ilikuwa ilikuwa inakutana na timu mbovu. Bado siyo timu bora hata kidogo.

Kama inapigwa goli mbioi na USM Alger vipi ingekuwa zile Casablancas (Raja ama Wydad)? Yanga utopolo imetopoloka leo
 
Aucho ametupatia ugumu sana wa fainali zote 2, ila Yanga wajifunze kucheza nnje ya uwanja maana ile kadi ya Aucho haikuwa sahihi kabisa na wangeikatia rufaa angecheza fainali zote 2 na pengo lisingeonekana kabisa.

Tunaendelea kuiombea Yanga FC mema second final maana kwenye mpira lolote linawezekana.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Hilo la Aucho ni uongo tu na kujiliwaza, huyo Aucho sio malaika mpaka akawazuie waarabu, acheni kujidanganya, timu mlizocheza nazo kabla ya yule mwarabu wa jana zote zilikuwa laini, mkajipigia nje ndani pamoja na ubovu wenu.

Jana kwa mwarabu mkakutana na aliyewazidi, sasa kilichobaki kwenu ni visingizio tu; mara mvua iliharibu uwanja kama vile mwarabu alichezea mawinguni, mara Aucho sijui nini....
 
Kiko wapi sasa kama Washabiki wa Yanga wanajiliwaza na wana uwezekano wa kubeba tena makombe matatu 2023 ilihali ninyi Mbumbumbu mnaendelea na pangu pakavu?

Kweli kulazimisha furaha ni mtihani mkubwa sana katika maisha

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Taarifa MwenyeKiti,"Marumo Gallant,wameshuka daraja huko Africa ya Kusini".Mzungumzaji unaipokea taarifa.? Ndiyo naipokea taarifa Marumo Gallant imeshuka daraja huko Africa kusini,kwa hiyo haikuwa kipimo bora kwa wananchi
 
Kiko wapi sasa kama Washabiki wa Yanga wanajiliwaza na wana uwezekano wa kubeba tena makombe matatu 2023 ilihali ninyi Mbumbumbu mnaendelea na pangu pakavu?

Kweli kulazimisha furaha ni mtihani mkubwa sana katika maisha

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Usihamishe magoli bana, kwani sasa hivi hamtaki tena makombe manne
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom