usiwaone wazuri wabaya ndio hao hao!!!

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,150
unanuna nini sasa
hao hao unaowaamini ndio wanakuharibia ndoa yako uhusiano wako
hao hao unaowaona mabinti wazuri JF hao hao ndio mibaba ya shavu...
watch out!!@@@
 
Kuna wengine wanakimbilia " i luv u" i miss u weee

unaweza kum luv mtu jf..shika ikushike.....

Wewe rafiki yako anamuita mumeo bar unadai aaah awezi fanya kitu lohhh

huyo huyo anakumaliza
 
heheheheh naona leo umeamua kupasua jipu ..
aliesema kikulacho ki nguoni mwako hakukosea
 
Back
Top Bottom