Usitafute pesa kwaajili ya kujenga bali ongeza vyazo vya mapato kwanza

Kaka Nyumba ni asset kubwa sana,imagine unapanga nyumba unalipa laki mbili na nusu kwa mwezi,ukijenga na kumaliza hiyo laki mbili na nusu itakuwa inaingia kwenye account yako.
Jamaa haelewi hilo. Hapohapo unaweza ukapangisha baadhi yà vyumba pesa inaingia, iweje aseme siyo asset?
 
Mhindi amepanga national housing pale mjini anavi8 lake na jpil hafungui duka anakula bata kama kawa wew uliejenga unamzidi nn kila mmoja na kipaumbele chake
 
Mhindi amepanga national housing pale mjini anavi8 lake na jpil hafungui duka anakula bata kama kawa wew uliejenga unamzidi nn kila mmoja na kipaumbele chake
Watu hawajui tubu kujenga nyumba yataka akili ana ukikurupuka unaweza jenga na ikaishia katikati au hata ikaisha ila ikaja kuuzwa na bank maaana baada ya kujenga miradi au biasha inayumba mwisho wa siku unaenda kukopa bank
 
Nimenunua kiwanja nimejenga chumba changu kimoja sina tatizo na mtu.
Hiyo hera uliyotumia kujenga hiko chumba 1 ungewekeza kwa miradi yako, biashara nk saa izi ingekuwa imezaa bei gani na ukisha kuwa pesa ya kutosha si ungejenga nyumba yako hata ghorofa bila wasi
 
Issue ya mtoa hoja inaeleweka. Hoja ni unaanzaje kujenga, ukiwa stage ipi ya maisha, na je,ni lazima kutumia style inayoonekana ni bora kwa jirani yako? If at all,people had common minds, nobody could think of making an aeroplane! Somebody may decide to buy a car,to simplify his bussiness while other use such opportunity to sweet maids!
Sawa kabisa mkuu we umenielewa sana kumbe sikatazi watu kujenga no ila unajenga uko na hali gani je unapesa ya ktosha kujenga na kuendesha mambo yako!? Au unajenga unamaliza pesa yote hata kiashara inaisha baadae uje ukope bank ushindwe kulipa waje kuiuza nyumba yako?
 
hata gari ni sehemu ya nyenzo muhimu kwa maisha ya binadamu. Tena wakati mwingine kuliko hata nyumba kutegemeana na mahali na mahitaji.
Sio wote wanaonunua gari inakuwa kipaumbele bali kukurupuka na kufuata mkumbo ili aonekane nayy anazo nk
 
Vyazo vya mapato viwe vya uhakika usipoangalia zitaisha bila faida yoyote.
 
Sio wote wanaonunua gari inakuwa kipaumbele bali kukurupuka na kufuata mkumbo ili aonekane nayy anazo nk

Ndo preference yake. Kila moja ana priority yake in his/her rank of preferences. Tuache kila moja achague anachoona kinamfaa kwa wakati huo.
 
Wazo lako sio baya kiwanja kisha kujenga baada ya mafanikio ya kitu chengine means biashara.
kwamimi naweza kusema au kuchangia hapo nibora ukiwa na kanafasi cha kujenga jenga kwanza mengine baadae yalisha nikuta hayo nikapoteza Mtaji nikaishia kiwanja. Japo wazolangu lilikuwa zuri biashara kwanza kujenga baadae.

Tuwemakini kwa hilo nilikuja fanikikiwa baadae sana baada ya kugundua hilo kwa sasa hata nikisema nifanye biashara is ok Nyumba kwanza mengine baadae thanks.
 
mnatuchanganya inaonekana ww una nyumba za kupangisha utaki tujenge ili tuendelee kukaa kwako
 
Ukipata pesa leo halafu uka nunua kiwanja, usitafute pesa ya kuanza kujenga, bali tufuta pesa fanya kitu amabacho kitaingiza kipatao kingine kwa ajili ya kujenga kwenye kiwanja hicho, Ni Sawa ununue gari ya kutembelea na huna chanzo kingine cha kukupa pesa ya mafuta. UTAFELI..ile MBAYA.
Nakubaliana na wew kwa asilimia 100, mimi ni mhanga wa hii post yako, nilipata pesa, nimejenga nyunga japo inanisitiri lakini mfukoni sina kitu kabisa
 
Back
Top Bottom