usiombe uwe msela

selestin john

Member
Jan 20, 2012
67
8
basi kutoka pande za morogoro maeneo ya kihonda asikwambie m2 kuna mwana mmoja ni mbishi ile mbaya,sasa day moja c ndo akaamka mapema sana afu akawasha moto nini afanye mpango wa menyu sasa kujisachi c ndo hana ki2 mwanaADAM,kucheki ghetto kuna viatu vya long sanaaa,haina ubob junior msela akakata vipande kama vya nyama kisha aka2pia sufuriani na chumvi juu.mimi nilimkuta anamalizia kamba za via2
 
Me msela ki2 gani ninafanya,me msela hata chai inashindikana. dah! usela noma.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom