Usiombe kutofahamu maana ya maisha

Andrew Jr

JF-Expert Member
Apr 23, 2012
330
117
John Dewey, american philosopher aliwahi sema hivi,..Believe is a scientific hypotheses, action is experiment to prove your believe is tru or unrealistic......kwahyo ukiona una wazo zuri lakini matendo yako hayaendani ujue una matatizo....ukiona hata kuwaza huwezi pia sema
 
Tupe mifano tuelewe zaidi.

Labda wewe unasoma sheria na lengo lako ni kuwa Jaji hii ndiyo Scientific believe. Kwa hyo tunataraji usome kwa bidii ili ufaulu mtihani wako..hii ndio Action ambayo John Dewey aliita experiment ambayo kwayo itakwambia kwa Action hii lazma ufaulu vizuri na uwe Jaji
 
Back
Top Bottom