Usiombe Ikukute Hii.....

Oct 12, 2016
32
13
Hebu Fikiria

Umetoka zako Job Saa 2 Usiku, Njaa + Uchovu + Stress Za Kazin + Usingizi….
Unaamua zako kuingia Geto Ulikopanga Kwa kunyata Landlord Asikusikie
Coz anakudai...,Ile Unaingia Ndani Mzee Unakutana na Black Mamba ( Nyoka ),
Amejilaza kitandani anakuchek, Kwa hasira Unamtazama Unatamani Umtafune
Unaamua Kutoka Nje kutafta Silaha Uje Umuue huyo Nyoka,
Ile Unaingia Ndani Mzee Unakuta Bado Nyoka Yupo..,
Apo Mkononi Unabonge la Gongo Utafkiri Unapiga Band Ya Mkoa
Kwa hasira Unafunga Mlango Kwa Funguo kisha Funguo Unarusha Juu Ya kitanda,
Bahati Mbaya Funguo Inadunda Kisha Inaingia Chini Ya Uvungu,
Unaona Sio Kesi Unaanza Vita na Nyoka…,Ile Umerusha Gongo Umelenga Kichwa
Nyoka Anakwepa,Kwa hasira Unarusha Tena Unamiss…,Nyoka nae anaona Uko siriaz na Mauaji
Ghafla Anaingia Chini Ya Uvungu(Zilipo funguo)
Huku ukiwa unawaza Ufanyaje Ghafla Tanesco nao Wanaamua Kuchkua Umeme wao
Kumbuka Funguo ziko Chini Ya Uvungu + Nyoka + Giza + Hofu…….

My Dear Hapo Ndo Utajua Kwa Nini Reggae Wanacheza kwa kurusha miguu......
 
daahh nimecheka sana!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom