😂😂😂😂Chama cha wakataa ndoa wengi wao wameangukia kwa hawa wadada wa humu ndani
Habari ndugu zangu ikiwa ni jumamosi ya mwisho ya mwaka 2023.
Nayasema haya kutokana na utafiti wangu wa kimnya kimnya nilioufanya kutoka kwa hawa dada zetu wa Jf, nipo hapa kupigwa mawe pasi na kujali lolote ila ukweli ufike.
Wengi wao ni wake za watu, mademu za watu na wengine ni single maza, kulia shida kwao ni jambo la kawaida sana , atakuomba buku ila jua hujaombwa mwenyewe.
Na ukiwasikiliza maneno yao na sauti zao nikama malaika apigaye tarumbeta la amani, sauti zao ni za mapenzi ya hali ya juu, wanajali sana na wepesi kumpandisha mwanaume hisia za haraka kama kichwa cha juu hakifanyi kazi vizuri, ukiwa nao faragha hawana mvuto isipo kua sauti zao ni nzuri za kubembeleza kama mbayu wayu wa mwituni mithili ya kukupelekea wewe mwanaume kujiona upo peponi
wana mitego ya kimahaba na ukijichanganya unaweza hadi kuuza mechi hadharani na ukakata kusikiliza mawaiza na kuamua kuoa upesi pasi na kufikiria mara mbili
Vijana msije mkajichanganya mkaingia mtegoni kuoa wanawake wa humu ndani asilimia kubwa ni matapeli na wanavisasi zidi ya wanaume japo wanaonekana kama malaika, ni warahisi mno na wepesi sana kuchakatwa pasi na wao kujali lolote , wao kukuvulia nguo ni wewe tuu ujipimie.
Wanawake wa humu ndani Jf wameweka hela mbele kama posho ya huduma atakayo kupa na wengi wao wanajiona ni wagumu sana ila kwa upande mwingine ni warahisi na wepesi mno kuchakatwa kama wewe ni mjanja mjanja na una vihela vya chenchi za karanga, hawa hawafai kuolewa ,kijana usije ukaingia mkenge utakuja kulia sana.
Wanawake wa Jf siyo wife material kabisa , wanamaomivu moyoni na asilimia kubwa ni mafeminist, single maza, wake za watu waliojawa na tamaa mbaya, mademu za watu viruka njia, wanawake wa dangaji na wengi wao hawana mvuto, hawajielewi, na wengine ni wauzaji wa moja kwa moja jumla na rejareja
Kijana unaye tafuta mke au mwanamke wa kuzaa nae, hawa wanawake wa Jf wakiimbie ma uwaogope kabisa huu ni mzigo mzito na wa moto sana. Kijana tafuta mwanamke wa kuoa /kuzaa nae /kuishi nae huko mtaani.
Kutafuta mke Jf hakuna tofauti na kwenda kutafuta mke Tinder.
Huu uzi usifutwe, huu ni ukweli mchungu sana, saidieni vijana kwa kusema ukweli ili taasisi ya ndoa iimarike
Soon nitamuintrodjuzi daktari wa afya ya akili humu maana hali n tete
Watake wasitake,, sisi ndiyo tumebaki 🤣🤣🤣🤣Mnawaumiza vichwa waoaji nyie
Wali beba ngapi😄😄😂😂Kama uzi unavyojieleza hapo.
😀😀😀
Haya malalamiko yote ni kuwa mleta thread kakutana na WANAUME WA KIKE huko PM wamempeleka mjini.
Mambo ya ajabu hata mtaani yanapatikana .
Kwa hiari yangu huwa natoaWali beba ngapi😄😄😂😂
I never do that kind of shit.Kwa hiari yangu huwa natoa
🤭🙄🏃🏃🏃🏃😂😂😂Halafu wakambatiza na kumpa jina jipya la mjuba wa kupigwa mizinga 😂
Wanawake wa jf noma sana
Halafu wakambatiza na kumpa jina jipya la mjuba wa kupigwa mizinga 😂
Wanawake wa jf noma sana
Yaani kama umejua yaani! Mtu anakuja inbox kbs kukuelezea mambo ya mdada kisa ameona mnalikiana, eti anakutahadharishaWanawake wengine sisi kwa sisi tunachafuana!
Hapo tu
Wewe umebakije mpaka leo bana?Watake wasitake,, sisi ndiyo tumebaki
Nyie ndio mnawamega sana, watu wenye statement kama hii huwa mnajifichia hapo, kumbe mnakula na kubakisha.daaah!.. huu ushamba utatuua,.yaani miaka yote hii mi natumia JF kupata madini tu, kumbe kuna watu mnaitumia kama dating app.🧐🧐
NimesahaulikaWewe umebakije mpaka leo bana?