Ktk zama hizi ukimkuta mdada ni sekretari basi ujue ana tabia mbaya i.e alishindikana kimalezi na hata alipopelekwa shule hakuzingatia masomo.
Wengi wao walidanga na kudaka ujauzito wakiwa shule za msingi ama kidato cha 2 wakajifungua halafu wazazi wakawapitisha QT, kisha wakaenda kusoma usekretari.
Ni wadada ambao wamewekeza akili zao kwenye kudanga tu. Hakuna lingine wanalowaza ktk vichwa vyao. Awe ofisi ya umma ama ya mtu binafsi, sekretari ni sekretari tu.
Kwanini naleta wimbo huu kwenu? Kuna mteja wangu (nadhani nyote mnafahamu kuwa mm ni kungwi) yamemkuta. Alikutana na mdada mzuri kiumbo kwenye ofisi ya mapokezi shule fulani.
Ktk shule hiyo masekretari ndiyo hupokea wageni na kufanya kazi za usekretari. Jamaa kamwaga nyimbo demu kaingia laini, mapenzi yakachipua mpk wakaingia kwenye ndoa.
Kumbe bidada ana mtoto mkubwa lkn hakuwahi kumwambia mshikaji na alikuwa kamuacha kwa nduguze kijijini.
Siku ya siku wakiwa na miezi 14 tu ya ndoa jamaa akagundua kuwa bidada ana mtandao wa wanaume kama 6 wa ndani na nje ya taasisi ((shule) anayofanyia kazi.
Suala hili lilizua timbwili kubwa. Na ktk harakati za kwenda kwa ndugu na jamaa mbalimbali ili kulitafutia ufumbuzi, ndipo jamaa kakutana na kipande cha binti, ziwa likiwa limekomaa na kukaribia kudondoka. Akaambiwa binti huyu ni mtoto wa kwanza wa mkewe.
Kufuatia surprise hiyo jamaa amegoma
kutafuta suluhu, badala yake amebwaga manyanga.
My take!.
Masekretari ni wa kutafuna tu na kutema. Usithubutu kuoa sekretari. Ukizingatia ushauri huu Kuna siku UTANISHUKURU.