Usioe hawa wajinga wanaojiita feminist ni hovyo kabisa

Nesi mkunga

JF-Expert Member
Nov 28, 2022
701
1,849
Hivi kuna Mwanamume mwenye akili timamu yaani kichwa cha Familia ana mke wa aina hii?

Ok mtakumbuka wiki kadhaa nilieleza mambo yanayochangia ndoa nyingi kuvunjika... Mfano halisi ni aina ya wanawake kama huyu katika video.

Vijana msikurupuke kuoa mwanamke kwakuangalia makalio na mwisho wa siku mkapata wa aina hii, Vivyo hivyo Wanawake msikurupuke kuolewa na Wanaume mlendamlenda kama Mume wa huyu Mwanamke.

By the way huenda huyu Mume mwenzetu yuko katika jela ya ndoa na huyu Mwanamke ama ndio kusema mama amekaoa kajamaa kama vile vivulana vibeba ndono ambavyo kazi yake ni kumtibu mama huyu kichaa chake tu.
 
Wakati takwimu mbalimbali zikionyesha mimba shuleni, vyuoni zikipungua, Mwananchi limebaini kuzuka kwa mbinu mpya haramu za utoaji mimba ambapo dawa zilizotengenezwa maalumu kutibu magonjwa ya aina fulani, ndizo zinazotumika kinyume kufanikisha vitendo hivyo.
 
Bora kuoa malaya kuliko feminist
📌📌📌📌📌📌📌📌

Kabisaa!

Halafu feminist wengi ni vimbaumbau. Ni nadra sana kukuta supa dupa yutong eti feminist....
Screenshot_20211101-074009_Instagram.jpg
 
Nesi mkunga

Mtoa mada ata maana ya Feminist huijui🤣

Binafsi nafaham kua Mwanaume ameumbwa kuwa mfalme mbele ya mwanamke na huu ni uumbaji huwezi kuubadirisha na kila Mwanaume yuko hivyo mbele ya mwanamke na ukishindwa kumuentartain lazima alale mbele..ndio maana ya Mwanaume kuwa Kichwa

Sasa wewe unaonekana hupendi kabisa challenge na mwanamke anayejitegemea ni threat kwako..unapaswa kufaham kua kila Mwanaume ana character zake na vigezo vyake anavyoangalia kwa mwanamke, kuna ambao hao unaowaponda ndio wanaowapenda, wewe kama unapenda submissive wife then tafuta oa sio kuponda wengine
 
Back
Top Bottom