Using Mobile Health Technology to Build a Population-Based Cancer Registry in Tanzania

nyarngato

Member
Apr 11, 2012
29
4
Jamani wana jamii,
Nimetokea kuona kupitia kwa marafiki zangu wa uganda., wanaoshiriki kwenye grand challenges za Canada.
walinitaarifu niwapigie kura kwenye aplication zao..
baada ya kuangalia nikaona application hii ya Tanzania nikaipenda sana... Nadhani idea ni nzuri na very creative..
Grand challanges Canadani mashindano ya proposal za kubolesha afya.. na proposal yako ukipata kura nyingi uunapewa fund ya kuimpliment..
Jamani tuipigie kura hii ya tanzania maana naamini italeta sana faida katika jamii yetu..Angalia mataifa mengine wanavyopiga kura za kwao zishinde.. its time na sie tuamke
Msije mkafikiri nina wafahamu wenye proposal .. la hasha nimeipenda tu idea nikaona nishare na watu wengine
iko kwenye
Grand Challenges Canada | Rising Stars Application Microsite
 
Back
Top Bottom