Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 50,956
- 22,148
Dear wanandoa
kumekuwa na matatizo mengi tunayapata kwenye ndoa za watu wakati wa kurekebisha matatizo yanapotokea
sasa kama mjuavyo mwenzenu nikiona kakuwamegea wala siitaji voda pesa mnitumie nawaachia mnajua kichwani
cha kufanya kwenye ndoa zenu..majuzi tulikuwa na tatzio moja tunatatu kuna wanandoa walioana awana hata miezi
mitano kwa kweli niliumia lakini mwishowa siku nilimuita yule binti nkamjuza unajua maana ya kukoma,,ama ukiambiwa komaa??
alipojibu ndio nikamkumbusha ukiwa girlfriend na boyfriend mlikuwa mnaitanaje..ooh hny sweet baby na kwenye ndoa akawa anaendeeleza
hayo hayo nikamwambia utalia mama yangu..siku hizi hiki kizazi cha mangaribi hadi dada zetu tunaitana sweet sasa wanaume
hupenda sana kutumia nafasi pale wanapopata...so anaandika sweethappy..akijua happy ni dadake kumbe ni mwenzawako anakusaidia
Ukiwa kama unakaribia kuingia kwenye Ndoa watchout yale majina mliokuwa mnaitana yatakugeuka utajuta maisha yako
yote...sasa basi tatizo tulilokuwa tukitatua lilikuwa neno "SWEET""any way najua jina hilo waweza tumia sehemu nyingi
maana yake unaijua mwenyewe..kaka huyu aanzaye na jina la D alisave jina la sweetrehema..huyu rehema alikuwa ni dadake
wa kuzaliwa kabisa..mke akawa anashangaa kila mida rehema kapiga anashida gan na mume wangu..ni uchungu sana huyu dada aliweka
wazi mpaka akahisi mumewe anatembea na dadake..na si mara moja wako wengi tu wanatembea na dada zao na wengine nawajua ni mataraji
wa kutupa...huyu dada akasema simu za usiku zikamchoka akiangalia sweetrehema...akaamua kumpigia rehema yani wifi ,kama mjuavyo
ndoa za wifi binti akaanza mbona wifi wampigia mumewangu kila usiku ,,jamani kunani,,,wifi akamsikiliza mwisho akamwambia mara ya mwisho
kuongea na mumeo ni wiki tatu na nusu zilizopita...nahisi kwa mara ya kwanza mawifi wanakuwa wastaarabu akamuaga na kumwombea Mungu wayamalize salama..so unaweza jua kama dada mtu anakutakia heri uyamalize salama anajua kumekucha huko
Akachukua ile namba akasave...keshokutwa yake akachukua simu ya mumewe na kupiga ikaandika SAVANNAH Butcher,,akamuuliza mumewe umejenga bucha hata atuambiani mume wangu..jamaa akakaa kimya baadae akasema naona umenichhoka...akamwambia sio naona tel ya savanah bucha...akaamua kupiga hiyo namba akapokelewa na hny nini tena usiku huu mkeo kimewaka..yule binti akavunja simu akaanza kukwaruzana na mwenyewe...ni huzuni sana alikuwa analia kila anapoongea wapendwa..na mi najua maana ya kupigwa kwenye mahusiano..anyway tuliomba na kuwaekeza wasameheane hakika tumetumia hadi maombi lakini binti ameamua kutorudi nyumban na kumwambia mzee ampelekee vitu vyake...
Hili liwe fundisho kwa wanandoa unapoamua kuoa ujue unabeba mzigo wako wa milele ..sasa basi kama bado una hamu na vile vichaka vya porini ni vyema usioe ujiandae kwa mengine then ukiwa tayari uoe..ni hili ni hata wale wanawake mnaofikiria kuolewa mapema kutoa gundu la hasha kamamunajua bado yale mananii yanakuwasha si vyema ukamchukua kaka wawatu alieamua kutulia na kutunza familia yake akakutana na shetan
ndani ya nyumba..ni bora ukisali mwambie Mungu hata kama nampenda kama ni shetan nionyeshe kabla ya ndoa ukiingia lile baba limekula kwako
Unaweza ona shetani alivyo mbaya anamfanya mtu anasave jina la dadake wa kuzaliwa lakini ni mtu anaezini nae na kumvulia nguo kilasiku sasa ki prophetic sign huy jamaa ana dhambi mbili kwanza kutembea na dadake na pili kutoka nje ya ndoa so anatakiwa kujirekebbisha sana
Kila la kheri