Usiku wa Habari TBC1 ni zaidi ya habari

wadau kwa zaidi ya mwezi sasa nimekuwa mfuatiliaji wa kipindi cha usiku wa habari ambacho kinarushwa hewani na TBC1 kwa kweli nimekuwa navutiwa nacho na naweza kusema bila uoga kuwa ni kipindi bora zaidi kuwahi kutokea TBC1 au hata vituo vingine vya Tv.
 
kweli kabisa mkuu hiki kipindi ni kizuri sana.

Ila kipindi cha jana kwa kweli kilinihuzunisha sana, serikali pamoja na watanzania wote wazalendo tuna wajibika kuibadilisha hali ya hospitali ya magonjwa ya saratani ya ocean road.

kazi nzuri Jerry Muro & Sudi Mnete.
 
Kweli Jana ilikuwa inauma sana hata J.Muro alitoa machozi si mchezo, Naomba hicho kipindi kiwe mchana na weekends watu wawe wanakiona na wajua matatizo tunayokuta nao na tusiishie kupiga porojo za siasa na wanasiasa kutupa pesa nyingi kwa kampeni zao za ubunge huku watu wakiwa hoi mahospitalini. pesa za uchaguzi zinakuwa nyingi kupita maelezo jamani huku KCMS watu wafa kwa Cancer??? USA wao wanafight for Budget ya Health Care ipite sie hapa twapanga mikakati ya kumwaga pesa majimboni na kunua magari mapya kwa ajili ya uchaguzi ifike mahali tujionee haibu jamani mpaka lini? kwa walio kiona kile kipindi jana hakia mungu hata mie chozi lilinitoka sana siju wenzangu nyie na nikastaajabishwa ati kuwa nchi nzima kuna machine 3 zakutibu huo ugonjwa ila ni machine mbili tu ndio zafanya kazi haaaaa kwanini serikali hiii inafanya nini?? Ndulu anakarabati nyumba kwa mabilioni ya kozi za watanzania huku watu wafa jamani hiiii ni ungwana kweli mtadai kununua hizo machine inazidi thamani ya ukarabati wa nyumba ya Ndulu????

Tupeni thamani ya Mitambo hiyo ya matibabu tujue hapa iwekwe hadharani tuone.

ndugu, usishangae hivyo ndio vipaumbele vyetu.
 
Back
Top Bottom