Usiku wa Habari TBC1 ni zaidi ya habari

ZionTZ

JF-Expert Member
Oct 6, 2009
1,283
538
Wakulu kwanza niwajulie hali...Leo nilikua nikitazama taarifa ya habari ya TBC1 nikaona kitu ambacho sijakizoea sasa sijui ni... ushamba wangu au vipi...nimeona kama watangazaji wanasoma salamu kwenye taarifa ya habari, yani raia wanatuma salamu alafu katikati ya taarifa ya habari watangazaji wanasoma hizo salamu, am not sure if am right but kwa uelewa wangu kwenye taarifa ya habari si mahali pakutuma salamu....yani watu tumeconcetrate kusikiliza taarifa ya habari wenyewe wanatuma salamu...hivi hii sio dharau kweli...

wakuu mliopo mbele(nje) em tusaidieni is this right??? huko huwa inafanyika hivi...??? ingekuwa kusoma muktasari wa habari nisingeshangaa lakini kutuma salamu kweli..????
 
Hujaelewa wewe..
Hawatumi salaam..wanatuma maoni yanayotokana na taarifa habari
hivyo watangazaji wanasoma tu maoni ya watazamaji.
 
Hujaelewa wewe..
Hawatumi salaam..wanatuma maoni yanayotokana na taarifa habari
hivyo watangazaji wanasoma tu maoni ya watazamaji.

Kila kitu kinamahali pake mkulu...maoni katikati ya taarifa ya habari ya nini??

sasa vipindi vingine vifanye kitu gani?? hiyo ni rendundancy tu...sometimes

ukizidisha maufundi ndo huwa unaharibu...
 
Kila kitu kinamahali pake mkulu...maoni katikati ya taarifa ya habari ya nini??

sasa vipindi vingine vifanye kitu gani?? hiyo ni rendundancy tu...sometimes

ukizidisha maufundi ndo huwa unaharibu...
Nadhan lengo ni kutaka kuwashirikisha watazamaji... nao watoe maoni yao kuhusiana na habari zinazotangazwa
 
Nadhan lengo ni kutaka kuwashirikisha watazamaji... nao watoe maoni yao kuhusiana na habari zinazotangazwa

ndo ukusanye hayo maoni katikati ya taarifa ya habari??? jamani em tuweni serious
 
kama wanataka maoni si wafungue website halafu wasikilazaji wakipita huko pia waweze kuacha comments zao!

Kweli inaboa sana, wakati taarifa imenoga tunaanza kusomewa maoni ya mtu fulani. Sisi tunataka taarifa. Maoni labda yapelekwe mwishoni mwa taarifa ya habari!
 
Hapo nadhani tibisii wamechemka, wangeweka kipindi maalumu baada ya habari kwa ajili ya kusoma maoni na sio katikati ya habari kama wanavyofanya sasa.
 
Sio Bongo wanajaribu kuigiza BBC! Bosi wao si alitokea huko?

katikati ya taarifa ya habari?? unajua kigezo kimoja cha mtangazaji wa habari ni utulivu yani mtu hatakiwi kuwa mcharuko....na ndomana hata uvaaji unazingatia utulivu...yani intention kubwa ni kumfanya anaeangalia aconcentrate....

otheryz ungekuta matangazo ya biashara hovyohovyo yani kitu hakijakamilika tangazo linaingia, lakini kwa kuzingatia hilo matangazo yanaibuka mpaka taarifa flani iishe either baada ya taarifa ya kitaifa, kimataifa au michezo lakini sio katikati ya taarifa ya kitaifa.
 
i think ni moja ya njia za kukusanya fedha(kuingiza kipato), b`se hizi meseji gharama huwa ni 500/= au zaidi. so wanachofanya ni kugawana hio amount kulingana na jinsi walivyokubaliana na kampuni za simu.
ingawa hio huwa inafanyika pia kwa media nyingine kubwa mfano CNN, lakini wao huwa wanasoma hizo meseji za watazamaji mwisho wa taarifa za habari. i think lengo ni kuwashirikisha watazamaji.
 
Kwakweli kungalukuwepo na kamuda aftr habari kakusoma ujumbe unotumwa na watanzania, Ila mbali na hilo nadhani kile kipindi kinachoendeshwa usiku kina itwa usiku wa habari kingekuwa kina rudiwa hata mchana au siku za weekend watu wapo majumbani mchana kama jana usiku walitoa kuhusu ungonjwa wa Cancer yani Saratani huko KCMS ilikuwa inauma sana J.Muro alilia machozi alivyoingia kwa wode ya wagonjwa wa Saratani.
Chakushangaza zaidi ni Kuwa nchi nzima tuna machine tatu na ni mbli ndi zafanya kazi, Ivi kweli viongozi wanaenda poteza pesa kwa kampeni na kuhonga watu wawapigie kura ili watanzania wankufa kwa Cancer???? Jamani me nadhani serikali ijirudi na kujiangalia huko twendako wenzetu USA wanapigani swala la Kuimarisha Budget ya Afya sie hapa twapanga mikakati ya kutembeza hongo kushinda uchaguzi ndicho tulicho nacho kichwani.
 
i think ni moja ya njia za kukusanya fedha(kuingiza kipato), b`se hizi meseji gharama huwa ni 500/= au zaidi. so wanachofanya ni kugawana hio amount kulingana na jinsi walivyokubaliana na kampuni za simu.
ingawa hio huwa inafanyika pia kwa media nyingine kubwa mfano CNN, lakini wao huwa wanasoma hizo meseji za watazamaji mwisho wa taarifa za habari. i think lengo ni kuwashirikisha watazamaji.

Wauliza majibu mpwaa ni Tsh 500/= mitandao yote nilichoka mwenyewe wanafanya biashara mpwaa,
Wakati mwingine TBC1 huchemka sana kutoa habari esp wakiwa wana report kutoka mikoani na kwingineko mara habari haipo kwa sasa mara jina la mtangazaji limekuwa kwa anaye hojiwa vitimbwi vingi sijui huyo Video Mixr au Picture Mixr hawajiandai mapema au???
Watangazaji wazeee wakaeee pembeni wawapishe vijana kwa runinga please wako sharp sana, wamkuta mzeee anatangaza yuko serious as if kaaambiwa hima himaaaa mmoja anza kutangaza eeeebooooo, ukiangalia vijana katika taarifa ya habari utapenda wako flexible sana Tafuaadhali Brother TIDO hangalia hilo

what's important,wamalize kutupa taarifa ya habari n then waendelee kuchota hizo fedha za vimessege vyao kwani kutumixia habari na sms from TV Viewers is not civilization even if their boss katoka BBC
 
Hapo nadhani tibisii wamechemka, wangeweka kipindi maalumu baada ya habari kwa ajili ya kusoma maoni na sio katikati ya habari kama wanavyofanya sasa.

Wakishindwa walete maoni yao JAMII FORUMS The home of great thinkers huku ndio kwenyewe bwana!
 
what's important,wamalize kutupa taarifa ya habari n then waendelee kuchota hizo fedha za vimessege vyao kwani kutumixia habari na sms from TV Viewers is not civilization even if their boss katoka BBC

yeah nakuunga mkono mkuu....
 
Back
Top Bottom