Usiku mwema!

Babkey

JF-Expert Member
Dec 10, 2010
4,834
3,655
1(3g+27)=3t
soln
3g+27=3t 3g/3+27/3=3t/3
= g+9+t
ans = G9t.
 
Sijui ni kichekesho au vp ila sio ajabu, nakumbuka o'level kwenye pepa ya namba nipo swali la saba kichwa cha hesabu anamwambia ticha swali la sita lina makosa na ticha anakubali na kuleta masahihisho. Mi nshakokotoa madudu yangu siku nyingi na hayo makosa wala skuyagundua.
 
umenichekesha sana
 
Tehteh teh
 
Back
Top Bottom