Gabinus son
Member
- Feb 28, 2012
- 10
- 1
Halloww wana Jf...! Jamani nina demu wangu anakaa SUMBAWANGA mi nikaa ARUSHA. Mahusiano yetu yameaanzia skul. Tulikuwa tunapendana sana tumemaliza skuli KAPANDA GARI kwenda swax na mimi nikapanda kwenda A-town. UWEZEKANO WA KUONANA NI MDOGO SANA. kutokana na umbali! Na na kumbuka maneno yake ya mwisho yalikuwa hv! 'USIJARI MPENZI NAJUA IPO SIKU TUTAONANA NA KUOANA NITUNZIE PENZI LANGU NAKUPENDA SANA MPENZI WANGU. jamani kuna mapenzi tena hapo?? ushauri jamani