Usifanye hili kosa!

Masikini_Jeuri

JF-Expert Member
Jan 19, 2010
6,829
1,296
[h=6]Don't marry anyone that you don't know what happened to their last relationship.ONE'S RELATIONSHIP HISTORY REVEALS ONE'S CHARACTER[/h]
 
ahsante.
lakin mtu anachange acc to time,place an space...na inawezekana kule alikuwa vile..aliact vile kutokana na sababu a,b,c...so kwako kuchange kuwa mbaya au mzuri inawezekana kutokana na atakayoyakuta kwako.

so sometimes haiwi kwamba kwa vile alikuwa mbaya UKO ALKOTOKA BAS ATAKUWA MBAYA NA KWAKO...anaweza akachange

na usitegemee alikuwa mzuri kuile basi kwako pia atakuwa mzuri..
 
Ila watu wanabadilika bana
Ndio at first place unaweza ukawa humjui vizuri ila kadri mnavyokaa nae ukamjua na ukajikuta unampenda
Sometime watu wanabadilika hata wale ambao tunasema tunawajua unajikuta kumbe uliingia chaka humjui
So with time i believe that watu wanaweza ishi pamoja
 
mbona mnajadili as if kujua one's past charcter ni dhambi? sijasema ni dhambi unachopaswa ni wewe kuijua iwe mbaya ama nzuri
 
I think katika watu waliowahi kunena most important advise kuhusiana na mahusiano this tops it by far!!! Hongera mwana
 
Ni kweli kwamba binadamu anabadilika kulingana na hali ya maisha, mahali, nafasi, uwezo, nk. Lakini kwa binadamu mwenye utu moyoni, na mwenye hofu ya mungu moyoni mwake, mazingira yoyote hayataweza kumbadilisha. Watch it out.
 
ahsante.
lakin mtu anachange acc to time,place an space...na inawezekana kule alikuwa vile..aliact vile kutokana na sababu a,b,c...so kwako kuchange kuwa mbaya au mzuri inawezekana kutokana na atakayoyakuta kwako.

so sometimes haiwi kwamba kwa vile alikuwa mbaya UKO ALKOTOKA BAS ATAKUWA MBAYA NA KWAKO...anaweza akachange

na usitegemee alikuwa mzuri kuile basi kwako pia atakuwa mzuri..

umeongea vyema. Naomba nikuzawadie KISHINDINDO.
 
Petro alimkana Yesu mara 3. Lakini alikuja kuwa the first POPE of catholic Church.people do change! Mazingira and time do make some one change.ndo maana unamtoa demu bush,unakuja nae mjini Kama Dar,baada ya mwaka anakuwa wa mujini inakula kwako.binadamu atabiliki
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom