Hanitoni
JF-Expert Member
- Nov 9, 2015
- 1,146
- 988
sio rahisi km unavyofikiria acha umbumbumbusimba na yanga ni majipu,yanapaswa kutumbuliwa ,hatukatai uwekezaji lakini hizi klabu zilikuwa na uwezo wa kujiendesha japo na kuwa na mwanzo wa hao wa wekezaji,inashanga kuona tamasha kubwa kama la simba day likifanywa kwa kipuuzi na kiujanja ujanja zaidi wakati lingeweza kuandaliwa vizuri na klabu ikanufaika zaidi ya hivi ,yanga inamashabiki zaidi ya miliojni 5 nchi nzima wameshindwa nini basi kubuni hata wazo la kuwachangisha hao wanachama miamia kwa ajili ya ujenzi wa uwanja tu?