Wakati mwingine najifungiaga ndani nikimshukuru Mungu kwa kufikiria mambo mengi sana yaliyonitokea katika Safari yangu hii ya Maisha mazuri, mabaya sikuwai kukata tamaa.
Kuna vijana wenzangu wengi wanapitia magumu mengi ya maisha kama mimi niliyopitia. Unaweza ukawa unaumizwa kwenye mapenzi, ndoa au masumbuko mengine tu pamoja na magonjwa.
Never loose faith, jifungie ndani lia ukimshukuru Mungu wako kwa yanayokutokea, nakuhakikishishia Mungu wako anaesabu kila tone la chozi linalokutoka. Hamna hata tone lako moja la chozi litakalodongoka au kupotea bure katia ardhi ya dunia hii.
Usichoke kulia ndugu yangu, ni majaribu tu hayo yatapita. Nakutakia Mwaka mpya wenye Baraka na mafaniakio mengi.