Gogo la choo
JF-Expert Member
- Oct 8, 2012
- 709
- 292
Yaya Toure..naona wivu kama Nyegere...!!!Mguse zubeda wangu uone Kama hujauwawa na kitu chenye ncha kali
Yaya Toure..naona wivu kama Nyegere...!!!Mguse zubeda wangu uone Kama hujauwawa na kitu chenye ncha kali
Nikitaka kuihamisha naihamishaje?
Na kama si yeye basi serikali ijiandae kumlipa bln60 kwa kumdhalilisha.Ofcoz absolutely yes!
Yawezekana asiwe na ndiyo maana hii habari nimei'finalise kwamba ni ALLEGATION!
Tuviache vyombo husika vimalizie kazi .
He he he!huyu si mjomba wako lakini au?Kweli mapenzi yanauwa. kamanda kwenda nyumba ndogo kuchojoa magwanda yote na manyota yanatundikwa kwenye kamba kisa demu. hivi kweli alisomeshwa na kodi za wazazi wetu. kweli mshahara wa zambi ni mbaya sana.
Ni jambo la kijinga na kizamani sana kuuana sababu ya wanawake. Mbona wanawake kibao tu.? Hata hapa jf wapo kibao
Na kama si yeye basi serikali ijiandae kumlipa bln60 kwa kumdhalilisha.
Ni jambo la kijinga na kizamani sana kuuana sababu ya wanawake. Mbona wanawake kibao tu.? Hata hapa jf wapo kibao
ahahahahaahahaaaaa..kaka wa Magogoni au?
Kweli mapenzi yanauwa. Kamanda kwenda nyumba ndogo kuchojoa magwanda yote na manyota yanatundikwa kwenye kamba kisa demu. hivi kweli alisomeshwa na kodi za wazazi wetu. kweli mshahara wa zambi ni mbaya sana.
....kisha anavua boxer,soksi,anazama msambweni.
Asubuhi kazini Mkali ka Pilipili.
HakyaMungu Majumba haya yangekuwa ya Vioo,Makauzu tu ndio wangemudu kutembea vifua mbele mitaani.
He he he!huyu si mjomba wako lakini au?
Nicas, yapo mengi tutakayojifunza katika hii issue!
Kwanza hii mikao ya mume kuicha familia yako kulee!
Na wewe kulee! Are not good in such !
Hapa inaonesha wazi Rpc, alikua akiishi Mwz famillia Dar!
Unategemea nini ?
Then walimu wenzake Dorothy walipodadisiwa na waandishi habari kama wanafahamu link yeyote ya love btwin RIP with Ticha wanajifanya eti hawajui !
Wakati kuna habari zilizothibitishwa kua mke wa mtuhumiwa mkuu na Ticha walishawahi kuzichapa.
Sijui huyu Ticha alikua na mautamu kiasi gani !
Mimi sijui !
Only teacher's consumers they know how swit it's!
Kweli mapenzi yanauwa. kamanda kwenda nyumba ndogo kuchojoa magwanda yote na manyota yanatundikwa kwenye kamba kisa demu. hivi kweli alisomeshwa na kodi za wazazi wetu. kweli mshahara wa zambi ni mbaya sana.
Ni jambo la kijinga na kizamani sana kuuana sababu ya wanawake. Mbona wanawake kibao tu.? Hata hapa jf wapo kibao
Just glance the meanin' of chitcht then you will earn your answer ! Openly !
dah sijui ya mwangosi ni ya mbuzi maana hata sielewi wanaoua gizani wanapatikana upesi upesi walioua kwenye mwanga na watu wakiona hawapatikani.hongera uliyemuua barrow.