inspectorbenja
JF-Expert Member
- Oct 14, 2012
- 498
- 419
Nchi za magharibi wanapotafsiri haki za binadamu,wanatola katika msingi halisi wa haki za binadamu.kuingiliana kinyume na maumbile ni kuuvunjia mwili haki za msingi na hilo linathibitishwa na sayansi.kisayansi viungo vya kike ni mahisusi kuingiliwa na kiume na siyo kinyume chake.kinyume chake siyo matumizi sahihi ya viunho vya uzazi.hicho tunakiita abuse au misuse.
ushoga na usagaji ni kuuvunjia mwili haki zake za msingi na mwili ni sehemu ya nafai na roho ambavyo vinakamilisha mwanadamu kwa hiyo ni kinyume na haki za binadamu.kama jinsi ambavyo kuna haki za wanyama ndivyo ambavyo kuna haki za mwili ambao ni sehemu ya mwanadamu.