USHOGA nchini: Tuangaliane machoni sasa!

Ni New World Order katika mikakati maalumu ya kupunguza idadi ya wanadamu:
1-Ushoga na usagaji.
2-U-Feminism.
3-Kuziingiza nchi katika njaa na maradhi.
4-Vita.
5-Madawa ya kulevya n.k

Zote hizo ni katika njia za kuzuia ongezeko la binadamu.

Na bdo mtaona mengi zaidi maana hayo yote yametabiriwa na nilazima yatokee. Mpinga kristo tayari keshaanza kufanya kazi ingawa sio kwa uwazi sana, iweni macho!
 
Eti naomba kuuliza.
Kwanini nchi za magharibi zinalazimisha wengine wakubali ushoga na ndoa za jinsia moja?

They must ---- you, ndio wakupe hela, shida hapa ni dharau, kutuona sisi black si kitu, pia watu wanazichua hela hizo na kufanyia starehe badala ya kufanya maendeleo
 
Kwa sababu wanapingana na mungu wanataka wapate wafuasi ktk hilo,mkikubali ushoga maana mmekataa mungu indirectly
 
Kwa sababu sisi tumeshindwa kujitegemea.

Huoni mtu akibisha cha kwanza wanasema tunaondoa misaada.
 
Ni New World Order katika mikakati maalumu ya kupunguza idadi ya wanadamu:
1-Ushoga na usagaji.
2-U-Feminism.
3-Kuziingiza nchi katika njaa na maradhi.
4-Vita.
5-Madawa ya kulevya n.k

Zote hizo ni katika njia za kuzuia ongezeko la binadamu.

kuzuia ongezeko la binadamu ili iweje? nani anazuia ongezeko? ni nature au watu kama sisi? new word order kutoka wapi?

briefly explain tafadhali.
 
They must ---- you, ndio wakupe hela, shida hapa ni dharau, kutuona sisi black si kitu, pia watu wanazichua hela hizo na kufanyia starehe badala ya kufanya maendeleo

Hapa issue sio ublack,juzi wamekataa kwenda sochi kwenye ufunguzi wa michezo ya Olympic kisa tu Russia haikubalian na huo ujinga.
 
wao wamesha haribikiwa so wanataka nasisi tuharibikiwe tuwe Kama minyama.
 
Tuwafundishe wazungu maadili mema waafrika tunamjua Mungu,tusikubali machukizo hayo wabaki nao ulaya.
 
Tangu kuibuka kwa sakata la ndoa/tendo la ndoa la jinsia moja, hasa baada ya M7 kusaini antihomosexual law bill, imeibuka mijadala mbalimbali kutoka kwa makundi ya watu. Wengine wanaonesha waziwazi kuutetea ushoga kwa kusema kuwa hilo ni swala binafsi la mtu hivyo liachwe kwa mhusika/wahusika.

Wengine wanapinga vikali kwa kutoa sababu kuwa tendo hilo ni kinyume na utamaduni wa kiafrika. Na hasa pia wanahoji nini malengo ya homosexuality. Wanahoji je, kama ikiruhusiwa/ikiachwa wanaume wakaoana wao kwa wao, nini hatima ya kizazi cha dunia?.

Mimi binafsi napata shida kupambanua sababu kubwa ya kuwepo kwa uvutano wa hoja kwa jambo ambalo, kwa mtazamo wangu ninaliona kuwa ni la ki..sh..enzi na la laana kabisa!. Swala hili si la kujadili kwa mvutano kiasi hicho bali ni jamii yote ya kitanzania na Afrika kwa ujumla kulipinga kwa nguvu zote hata kwa gharama ya damu zetu. Hili halina ubishi kuwa, ushoga, usagaji na uchafu mwingine kama huo ni matabia ya laana na ushetani wa kimagharibi!. Ni laana waliyonayo na sasa wanalazimisha laana hiyo iipate dunia nzima. Ndugu zanguni watanzania wenzangu tuukatae usodoma na gomola unaotufukuzia kwa kasi ya ajabu. Tumshinde Ibilisi shetani mlaaniwa pamoja na mawakala wake wote waliozagaa dunia nzima.

Tusimame kwa pamoja kuutetea Uafrika wetu!

Msimamo wangu kwa ujumla:::::;;; homosexuality is a curse, let us join efforts together, stand firm and fight against these odds and occults even at the expenses of our precious bloods!. Homosexuality is strongly and vigorously unacceptable, au wengine mnasemaje???
 
Precious blood? Do African dictators consider the blood of their fellow Africans precious? Where do these dictators get the moral authority to talk about immorality? This talk is a non-issue. Africans have no more blood to shed. It is being shed and sucked all the time by these dictators
 
Sure mkuu, lakini kwa Obama kama Mkristu ambaye anasali makanisa ya kiroho nilitegemea awe mute kwa hili jambo. Ni kweli walianza wenzake nyuma but naona kama vile amelishabikia sana. Ningekuwa yeye ningelisemea by the way tu only kwa kuwa akina Cameroon wanalishabikia etc. Mbona Urusi Taifa kubwa lakini halibali ushog? Ushoga kijamii haufai, vitabu vya Mungu hasa kwa wakristu kabisa havijawahi kusema mwanaume au mwanamke wanaoana!!! Wanaooana ni mwanamume na mwanamke tu basi. Mungu aliumba mwanaume na penis na mwanamke na vagina kwa ajili ya kazi hii. Hakusema mwanaume atumie tundu la haja kubwa kutimiza matakwa ya ngono. Likewise kwa wanawake kuoana na kutuma vibrators au vidole na mengineyo. Napinga ushoga na usagaji kwa nguvu zote.

najiuliza tu wanaoukubali ushoga ni watu wenye imani ya dini. wana hofu ya mungu kweli??? au ndio hawaamini uwepo wa mungu.
 
Hawa jamaa wa nchi za magharibi ni wapuu.zi sana!
Kama uhuru mtu hauna mipaka sharti usiingilie uhuru wa wengine, kwanini wanakaza matumizi ya dawa za kulevya? Si wawaachie tu!
 
HOMOSEXUALITY IS AN EVIL JUST LIKE ANY OTHER EVIL DEED (By religion, african culture, norms, natural law), so yes this stupidity which you are trying to defend without admitting YOU SUPPORT,is an unacceptable IN AFRICA, AND TANZANIA.

What is with you? Tanzanians do not like this practise and by majority, You speak too much about US, now go and convince these guys in US to bannish this one Arizona lawmakers pass controversial anti-gay bill - CNN.com

FOR STUPID WORLD BANK MOVE ON UGANDA I THINK ALL AFRICAN COUNTRIES NEED TO STOP DEALING WITH THE WEST FROM TODAY, UNTIL THEY LET US CHOOSE OUR OWN WAYS OF LIVING. GAYS AND LESBIANS SHOULD BE GIVEN ASSLYUM IN EUROPE AND US. EVEN IN YOUR HOUSE.

If what I wrote defends homosexuality then I must be terrible at explaining things...I was just stating the obvious. I do not judge others and never will. If its evil then its not for me to point out.
 
HOMOSEXUALITY IS AN EVIL JUST LIKE ANY OTHER EVIL DEED (By religion, african culture, norms, natural law), so yes this stupidity which you are trying to defend without admitting YOU SUPPORT,is an unacceptable IN AFRICA, AND TANZANIA.

What is with you? Tanzanians do not like this practise and by majority, You speak too much about US, now go and convince these guys in US to bannish this one Arizona lawmakers pass controversial anti-gay bill - CNN.com

FOR STUPID WORLD BANK MOVE ON UGANDA I THINK ALL AFRICAN COUNTRIES NEED TO STOP DEALING WITH THE WEST FROM TODAY, UNTIL THEY LET US CHOOSE OUR OWN WAYS OF LIVING. GAYS AND LESBIANS SHOULD BE GIVEN ASSLYUM IN EUROPE AND US. EVEN IN YOUR HOUSE.

The governer of Arizona vetoed that bill.....
 
tumexchezewa vya kutosha sasa basi, kama mtu baba yake ni shoga au mama yake ni msagaji huko huko sio Africa
 
Back
Top Bottom